JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

mzalendo aachwa na 7800.....mwanaume apotea kusikojulikana aacha taharuki kubwa....
 
Was bit fine, missing you badly my King...
How's was yours?!
Thanks to hear from your side, my side was good my princess, ila ndo hivyo sijaacha kufikiri kuhusu wewe, hivyo siku yako inapokuwa poa, nashukuru Mungu kwa kupigania kile ninachothamini.
 
Thanks to hear from your side, my side was good my princess, ila ndo hivyo sijaacha kufikiri kuhusu wewe, hivyo siku yako inapokuwa poa, nashukuru Mungu kwa kupigania kile ninachothamini.
Jamani jamanii....
Kama siku yako ilikuwa poa namtukuza Mungu kwa hilo!!
 
Nilitoka milimani my King..
Niko maeneo ya kujidai, Kuringe
There possibility my dictionary ina lack some vocabulary my queen, can you find conducive place to clarify the last word for me plz, kama hautojari..!
Thanks for being my queen.
 
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k

Vichwa vitasomeka hivi.

1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini

2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800).

3. 7800 yazua kizaa zaa.

4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo milango ya wanawake kufunguliwa(PM)

5. K-Vant yamgaragaza babu mtaroni (Asprin)

Ongeza vichwa vya habari.
Astaghafirulilah wallah...
 
Back
Top Bottom