Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijui labda katikati na Baadae mambo yaharibike saaaaaana "πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€πŸš΄πŸš΄

By Jakaya Mrisho Kikwete.

2025 Samia Bye bye, Rais ni Mkristu, Mkatoliki na ni Mwanaume
 
Sijui labda katikati na Baadae mambo yaharibike saaaaaana "πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€πŸš΄πŸš΄

By Jakaya Mrisho Kikwete.

2025 Samia Bye bye, Rais ni Mkristu, Mkatoliki na ni Mwanaume
umekurupuka na masuala yako ya ubaguzi wa kidini na kijinsia tena gentleman, dah πŸ’
 
Lipo jingine linaitwa Lucas Mwashambwa linakichwa kama cha kumbikumbi wa Mbozi.
vitimbankwiri mnapeana moyo sio dah 🀣,

naamini tumekubaliana kama timu moja ya JF kwamba tunamuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan come Oct 2025, right?πŸ’
 
Wewe unafanya uzalendo wa bure, ila wenzako wanakutumia wewe kuingizwa pesa. Mimi pia miaka kadhaa nyuma nilikuwa kama wewe mdogo wangu. Wanasiasa wanakupotezea tu muda..
Yes gentleman,
uzalendo wangu kwa Taifa langu ni wa kujitolea kwaajili ya waTanzania wote. Sihitaji malipo yoyote.

Huenda ulikua mtumwa kwenye karne hii ya sayansi na technologia. Ulikua unashiriki ushirikina right?🀣

Ulikua unatumiwaje sasa gentleman lakini na wewe?🀣
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Unatuona sisi chawa wenzio?
relax tu gentleman,
hata hivyo ukizubaa na kung'ang'ana na na walioshindwa, utajichelewesha mwenyewe,

kaa chonjo twende pamoja na mama mapema Oct 2025πŸ’
 
JF ni jukwaa huru linaloundwa na watu wa mirengo mbali mbali. Hivyo hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja wa kumchagua Samia mwaka huu.
 
Ni aibu mno sasa hatuwezi kamwe kumchagua mtu mwenye skendo za ubakwaji.
 
Familia moja unajua mimi nimekula nini mchana huu? Usilazimishe udugu.
Gentleman,
mambo binafsi ni muhimu yakatafutiwa suluhisho mbadala la kibinafsi,

hakuna haja ya kubabaika na kujieleza sana kuhusu hayo binafsi, tia bidii katika kuyatatua.

ila haya ya jumla,
tafadhali sana twende pamoja na Dr Samia Suluhu Hassan Oct 2025πŸ’
 
JF ni jukwaa huru linaloundwa na watu wa mirengo mbali mbali. Hivyo hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja wa kumchagua Samia mwaka huu.
ni muhimu zaidi wale wazalendo wa JF ambao wako tayari kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan kwaajili ya kazi ya maendeleo ya wananchi na waTanzania wote kujumuika pamoja na kusonga mbele kwa umoja come Oct 2025,

Kua jasiri, na usichelewe tafadhali gentleman πŸ’
 
Huko tanganyika hakuna wanaume wa kugombea urais?
Mtuambie kama mmebaki wanaume suruali tuu tujue ili mΓ ma apewe 5 tena!
Zanzibar urais mwanamke bado sana.
 
Kama Kawaida hiyo october 2025 Nikiwa hai naenda kumnyima kura yeyote anaetokea chama cha kijani.
 
kwahiyo kumbe ulipitia utumwa gentleman 🀣

walikua wanakutumiaje kwa mfano dah?🀣

ukawa unajiona umejipata weeee?
umaskini wa fikra na kipato na kukosa tuelimu hata tudogo tu ni kitu mbaya sana dah,

Pole sana,
kwasasa unajishughulisha na nini gentleman?

hata pamoja na hayo,
as JF family ni muhimu sana kwenda pamoja na Dr Samia Suluhu Hassan maana hakuna namna nyingine sasa come Oct 2025πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…