Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijui labda katikati na Baadae mambo yaharibike saaaaaana "🤣🤣😀😀🚴🚴

By Jakaya Mrisho Kikwete.

2025 Samia Bye bye, Rais ni Mkristu, Mkatoliki na ni Mwanaume
 
umekurupuka na masuala yako ya ubaguzi wa kidini na kijinsia tena gentleman, dah 🐒
 
Lipo jingine linaitwa Lucas Mwashambwa linakichwa kama cha kumbikumbi wa Mbozi.
vitimbankwiri mnapeana moyo sio dah 🤣,

naamini tumekubaliana kama timu moja ya JF kwamba tunamuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan come Oct 2025, right?🐒
 
Wewe unafanya uzalendo wa bure, ila wenzako wanakutumia wewe kuingizwa pesa. Mimi pia miaka kadhaa nyuma nilikuwa kama wewe mdogo wangu. Wanasiasa wanakupotezea tu muda..
Yes gentleman,
uzalendo wangu kwa Taifa langu ni wa kujitolea kwaajili ya waTanzania wote. Sihitaji malipo yoyote.

Huenda ulikua mtumwa kwenye karne hii ya sayansi na technologia. Ulikua unashiriki ushirikina right?🤣

Ulikua unatumiwaje sasa gentleman lakini na wewe?🤣
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.

Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.

Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.

Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.

waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan [emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Unatuona sisi chawa wenzio?
relax tu gentleman,
hata hivyo ukizubaa na kung'ang'ana na na walioshindwa, utajichelewesha mwenyewe,

kaa chonjo twende pamoja na mama mapema Oct 2025🐒
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.

Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.

Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.

Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.

waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
JF ni jukwaa huru linaloundwa na watu wa mirengo mbali mbali. Hivyo hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja wa kumchagua Samia mwaka huu.
 
Ni aibu mno sasa hatuwezi kamwe kumchagua mtu mwenye skendo za ubakwaji.
 
Familia moja unajua mimi nimekula nini mchana huu? Usilazimishe udugu.
Gentleman,
mambo binafsi ni muhimu yakatafutiwa suluhisho mbadala la kibinafsi,

hakuna haja ya kubabaika na kujieleza sana kuhusu hayo binafsi, tia bidii katika kuyatatua.

ila haya ya jumla,
tafadhali sana twende pamoja na Dr Samia Suluhu Hassan Oct 2025🐒
 
JF ni jukwaa huru linaloundwa na watu wa mirengo mbali mbali. Hivyo hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja wa kumchagua Samia mwaka huu.
ni muhimu zaidi wale wazalendo wa JF ambao wako tayari kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan kwaajili ya kazi ya maendeleo ya wananchi na waTanzania wote kujumuika pamoja na kusonga mbele kwa umoja come Oct 2025,

Kua jasiri, na usichelewe tafadhali gentleman 🐒
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.

Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.

Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.

Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.

waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Huko tanganyika hakuna wanaume wa kugombea urais?
Mtuambie kama mmebaki wanaume suruali tuu tujue ili màma apewe 5 tena!
Zanzibar urais mwanamke bado sana.
 
Kama Kawaida hiyo october 2025 Nikiwa hai naenda kumnyima kura yeyote anaetokea chama cha kijani.
 
Hawajui vizuri wanasiasa huyo dogo. Watamtumia kisha wakimaliza shida zao watamtupa kama uchafu.

Mimi nimejifunza kupitia CCM. Nilikuwaga mjinga kama huyo dogo kwa kujiona mimi pia ni patriot na sehemu ya Tanzania.

Nilipigwa na kitu kizito, nikaachana nao moja kwa moja..
kwahiyo kumbe ulipitia utumwa gentleman 🤣

walikua wanakutumiaje kwa mfano dah?🤣

ukawa unajiona umejipata weeee?
umaskini wa fikra na kipato na kukosa tuelimu hata tudogo tu ni kitu mbaya sana dah,

Pole sana,
kwasasa unajishughulisha na nini gentleman?

hata pamoja na hayo,
as JF family ni muhimu sana kwenda pamoja na Dr Samia Suluhu Hassan maana hakuna namna nyingine sasa come Oct 2025🐒
 
Back
Top Bottom