kupigwa ban au kutokupigwa ban ni uamuzi huru na binafsi wa kila member wa JF kuamua,Asitufanye tupigwe ban mwanzo wa mwaka
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.
Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.
Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.
Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.
waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Kama Kawaida hiyo october 2025 Nikiwa hai naenda kumnyima kura yeyote anaetokea chama cha kijani.
Hata kumpigia samia kura ni uamuzi huru na binafsi na kila Jf member kuamua.kupigwa ban au kutokupigwa ban ni uamuzi huru na binafsi wa kila member wa JF kuamua,
hata hivyo,
hakuna haja ya kubabaika, twendeni kizalendo as JF team sambamba na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025.
Kwani kuna ubaya gani gentleman π
Mimi kwa sasa ni kondakta wa daladala. Fursa zikitokea CCM hawaangalia kuwa umelipigania taifa la Tanzania kwa kiwango gani, bali wanaangalia wewe baba/mama yako ana cheo gani ndani ya chama.kwasasa unajishughulisha na nini gentleman?
Naomba bahasha yangu mapema mheshimiwaKuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.
Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.
Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.
Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.
waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan π
Mungu Ibariki Tanzania
Una uhakika gani kama utafika/tutafika/atafika hiyo siku?Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.
Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.
Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.
Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.
waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan π
Mungu Ibariki Tanzania
kwahiyo makonda baba yake na mama yake ni nani pale CCM?Mimi kwa sasa ni kondakta wa daladala. Fursa zikitokea CCM hawaangalia kuwa umelipigania taifa la Tanzania kwa kiwango gani, bali wanaangalia wewe baba/mama yako ana cheo gani ndani ya chama.
Wanasiasa wote wa Tanzania ni wasanii tu..
NARUDIA 2025Rais Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki,Toka Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume.umekurupuka na masuala yako ya ubaguzi wa kidini na kijinsia tena gentleman, dah π
Kabisa, sijui kwanini JIWE alipenda hayo mambo hivyo.ni fedheha sana kwa mtu timamu kuamini katika ushirikiana π
na ndio ushirikina wenyewe huo gentleman,Kabisa, sijui kwanini JIWE alipenda hayo mambo hivyo.
Wewe ndio dullah?
kabisa gentleman,Watu wanakuwa miili tu akili bado sana!!
ni muhimu kutowabugudhi wadau na masuala ya ubaguzi wa kijinsia na kidini gentleman ikiwa umefilisika mawazo mapya na huna fikra mbadalaNARUDIA 2025Rais Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki,Toka Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume.
Sisi sio Taahira tuitupe Tanganyika yetu kwa makusudi!
Mama mitano tena Ya KIZIMKAZI ππππ€Έπ€Έ
Gentleman,Una uhakika gani kama utafika/tutafika/atafika hiyo siku?