Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asitufanye tupigwe ban mwanzo wa mwaka
kupigwa ban au kutokupigwa ban ni uamuzi huru na binafsi wa kila member wa JF kuamua,

hata hivyo,
hakuna haja ya kubabaika, twendeni kizalendo as JF team sambamba na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025.

Kwani kuna ubaya gani gentleman 🐒
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.

Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.

Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.

Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.

waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
IMG_1805.jpeg
 
Kama Kawaida hiyo october 2025 Nikiwa hai naenda kumnyima kura yeyote anaetokea chama cha kijani.
Gentleman,
idadi ya kura zilizoharibika ni chache mno ikiwa ni pamoja na yako,

na hiyo haina maana yoyote gentleman,
kwanini uharibu kura yako kirahisi hivyo nawe ni mtu msomi na mwenye akili timamu 🐒
 
kupigwa ban au kutokupigwa ban ni uamuzi huru na binafsi wa kila member wa JF kuamua,

hata hivyo,
hakuna haja ya kubabaika, twendeni kizalendo as JF team sambamba na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025.

Kwani kuna ubaya gani gentleman 🐒
Hata kumpigia samia kura ni uamuzi huru na binafsi na kila Jf member kuamua.

Hakuna haja ya kushwawishiwa na uzi wa kiboya kama huu. Kiufupi hata kura hatupigi.

Kwani kuna ubaya gani bro?
 
kwasasa unajishughulisha na nini gentleman?
Mimi kwa sasa ni kondakta wa daladala. Fursa zikitokea CCM hawaangalia kuwa umelipigania taifa la Tanzania kwa kiwango gani, bali wanaangalia wewe baba/mama yako ana cheo gani ndani ya chama.

Wanasiasa wote wa Tanzania ni wasanii tu..
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.

Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.

Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.

Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.

waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Naomba bahasha yangu mapema mheshimiwa
 
Una uhakika gani kama utafika/tutafika/atafika hiyo siku?
 
Mimi kwa sasa ni kondakta wa daladala. Fursa zikitokea CCM hawaangalia kuwa umelipigania taifa la Tanzania kwa kiwango gani, bali wanaangalia wewe baba/mama yako ana cheo gani ndani ya chama.

Wanasiasa wote wa Tanzania ni wasanii tu..
kwahiyo makonda baba yake na mama yake ni nani pale CCM?

au ali hapi na Mzee pinda wazazi wao walikua akina nani serikalini?

Gentleman,
maamuzi magumu, uthubutu na bidii ni suluhisho la unyonge wa kimaskini, hakuna atakae kutumikisha, unless ujipendekeze,

binafsi nilienda kugombea ubunge mfukoni nina laki 5 Cash, watu wengi waliniona nimechanganyikiwa,

but leo hii wananuonea aibu wakikutana nami.

usikata tamaa,
twende pamoja as team na Dr Samia Suluhu Hassan come Oct 2025🐒
 
umekurupuka na masuala yako ya ubaguzi wa kidini na kijinsia tena gentleman, dah 🐒
NARUDIA 2025Rais Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki,Toka Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume.

Sisi sio Taahira tuitupe Tanganyika yetu kwa makusudi!

Mama mitano tena Ya KIZIMKAZI 😀😀😀🤸🤸
 
Kabisa, sijui kwanini JIWE alipenda hayo mambo hivyo.
na ndio ushirikina wenyewe huo gentleman,
kwamba mtu timamu na anajiita msomi kama wewe kuamini ushirikina wa mtu mwingine badala ya kuamini Mungu,

ni utumwa mbaya wa kiwango cha juu sana huo gentleama, hasa ukizingatia ndio kwanza mwaka mpya umeanza dah! :pedroP:
 
Watu wanakuwa miili tu akili bado sana!!
kabisa gentleman,
yaana unaona kabisa watu wanalumbana, wamegawanyika, hawana mbele wala nyuma, hawaaminiki wala hawakubaliki kwa wananchi lakini eti mtua anajiita ana akili bado ameng"ang"ana nao tu, huo si ushirikina kabisa gentleman,

nitoe rai kwa wadau wote makini na wenye maono ya mbali humu JF, twendeni tumuunge mkono mwenyekiti wa ccm Taifa na mgombea urais wa ccm com oct.2025, Dr.Samia Suluhu Hassan, kizalendo zaidi :pulpTRAVOLTA:
 
NARUDIA 2025Rais Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki,Toka Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume.

Sisi sio Taahira tuitupe Tanganyika yetu kwa makusudi!

Mama mitano tena Ya KIZIMKAZI 😀😀😀🤸🤸
ni muhimu kutowabugudhi wadau na masuala ya ubaguzi wa kijinsia na kidini gentleman ikiwa umefilisika mawazo mapya na huna fikra mbadala:pulpTRAVOLTA:
 
Una uhakika gani kama utafika/tutafika/atafika hiyo siku?
Gentleman,
kwa Imani thabiti, Neema na Baraka za Mungu tutafika kwa uhakika, salama na amani siku hiyo,

usijitenge tafadhali,
Twende pamoja na Dr.Samia Suluhu Hassan come oct.2025:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom