Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
linakua pronounced kirahisi, hivyo hivyo kama lilivyo andikwa gentleman

asanti kumuunga mkono mwenyekiti wa ccm taifa Dr.Samia Suluu Hassan.
Ahahaha kuna mtu juu kule kasema et huwa unapenda kutukanwa tuu natural wewe πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kama ni mzaliwa wa Tanganyika na ana uchungu na mali za Tanganyika sawa.
 
Hata kumpigia samia kura ni uamuzi huri na binafsi na kila Jf member kuamua.

Hakuna haja ya kushwawishiwa na uzi wa kiboya kama huu. Kiufupi hata kura hatupigi.

Kwani kuna ubaya gani bro?
Yes,
well and good my good lady,
hata ukipiga ama usipopiga kura, ni muhimu kuwapa fursa na nafasi wengine wafanye hivy kwa amani,

hata hivyo,
kama mzalendo wa taifa hili, nina wajibika for free kuwashauri waTanzania wenzangu hususani wadau wa JF, kufanya maamuzi makini na sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa.

hakuna haja kukaa kimya, huo utakua uchoyo wa maarifa,
nasisitiza wana JF wote katika ujumla wetu, tuungane pamoja kwa umoja tuhakikishe Dr.Samia Suluhu Hassan anapata fursa ya kuiongoza nchi yetu kuanzia Oct.2025-2030.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Bado kweli kuna mtu anaamini katika Magufuli na CCM. Kweli mtu unambaka makamu wako na bado unatukuzwa na watu, hao watu lazima wawe hamnazo. Huo ndio ushirikina wa wana CCM.
 
Namtakia kila la kheri

Ilaa achomoe baadhi ya makodi mfano
Service levy kwa manispaa, na TRA

Zibaki parking, kodi za pango, kodi za taka, kodi za maegesho, kodi za bidhaa


Kwenye ushuru wa magari atupunguzie walau 50% percent, mtu unaagiza nje gari la milioni 50 halafu ushuru wake inakaribia mara mbili yake, kama sio upumbavu ni nini!
 
ni muhimu kutowabugudhi wadau na masuala ya ubaguzi wa kijinsia na kidini gentleman ikiwa umefilisika mawazo mapya na huna fikra mbadala
Bado 2025, Rais Mkristu Mkatoliki, Mwanaume wa kanisa Katoliki Takatifu la Mitume πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu, wewe ikiamua kubakia CCM au kwenda chama kingine cha siasa, hayo ni maamuzi yako binafsi na kamwe siwezi kukulazimisha..
 
Mkuu, wewe ikiamua kubakia CCM au kwenda chama kingine cha siasa, hayo ni maamuzi yako binafsi na kamwe siwezi kukulazimisha..
Twende pamoja na Dr Samia Suluhu Hassan come Oct 2025,

maelezo ya msingi yako wazi na rahisi sana gentleman πŸ’
 
Matako kabisa
 
Bado 2025, Rais Mkristu Mkatoliki, Mwanaume wa kanisa Katoliki Takatifu la Mitume πŸ™πŸ™πŸ™
ng'ang'ana na ushirikina wako wa ubaguzi wa dini na kijinsia huko gentleman,

nafurahi wazalendo wote wa JF tunasonga mbele pamoja na Dr.Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Bado kweli kuna mtu anaamini katika Magufuli na CCM. Kweli mtu unambaka makamu wako na bado unatukuzwa na watu, hao watu lazima wawe hamnazo. Huo ndio ushirikina wa wana CCM.
ni hatari sana kwa mwana JF kubabaika na imani potofu na ushirikina huku eti akijibambanua yuko fit mentally,

huo ni utumwa mbaya zaidi zaidi kwa anaejiona mwerevu ,

shukran sana kwa wana JF makini kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025πŸ’
 
Ahahaha kuna mtu juu kule kasema et huwa unapenda kutukanwa tuu natural wewe πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
kwahiyo gentleman,
unataka kuwajulisha wadau wa JF kwamba uko kwenye mazoezi ya kuanza kuyaporomosha matusi mazito mazito, right?

hata hivyo kutukana ni nonsense na matusi ni useless kwenye mambo muhimu.

Ile ya maana zaidi,
ni ni shukrani nying sana kwa wadau wa JF, kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, full stop πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…