Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha kuna mtu juu kule kasema et huwa unapenda kutukanwa tuu natural wewe 😁😁😁🙌🙌🙌linakua pronounced kirahisi, hivyo hivyo kama lilivyo andikwa gentleman
asanti kumuunga mkono mwenyekiti wa ccm taifa Dr.Samia Suluu Hassan.
Yes,Hata kumpigia samia kura ni uamuzi huri na binafsi na kila Jf member kuamua.
Hakuna haja ya kushwawishiwa na uzi wa kiboya kama huu. Kiufupi hata kura hatupigi.
Kwani kuna ubaya gani bro?

Bado kweli kuna mtu anaamini katika Magufuli na CCM. Kweli mtu unambaka makamu wako na bado unatukuzwa na watu, hao watu lazima wawe hamnazo. Huo ndio ushirikina wa wana CCM.na ndio ushirikina wenyewe huo gentleman,
kwamba mtu timamu na anajiita msomi kama wewe kuamini ushirikina wa mtu mwingine badala ya kuamini Mungu,
ni utumwa mbaya wa kiwango cha juu sana huo gentleama, hasa ukizingatia ndio kwanza mwaka mpya umeanza dah!![]()
Makonda ana vituko sana, akapimwe akili!
Bado 2025, Rais Mkristu Mkatoliki, Mwanaume wa kanisa Katoliki Takatifu la Mitume 🙏🙏🙏ni muhimu kutowabugudhi wadau na masuala ya ubaguzi wa kijinsia na kidini gentleman ikiwa umefilisika mawazo mapya na huna fikra mbadala![]()
Mkuu, wewe ikiamua kubakia CCM au kwenda chama kingine cha siasa, hayo ni maamuzi yako binafsi na kamwe siwezi kukulazimisha..kwahiyo makonda baba yake na mama yake ni nani pale CCM?
au ali hapi na Mzee pinda wazazi wao walikua akina nani serikalini?
Gentleman,
maamuzi magumu, uthubutu na bidii ni suluhisho la unyonge wa kimaskini, hakuna atakae kutumikisha, unless ujipendekeze,
binafsi nilienda kugombea ubunge mfukoni nina laki 5 Cash, watu wengi waliniona nimechanganyikiwa,
but leo hii wananuonea aibu wakikutana nami.
usikata tamaa,
twende pamoja as team na Dr Samia Suluhu Hassan come Oct 2025🐒
Twende pamoja na Dr Samia Suluhu Hassan come Oct 2025,Mkuu, wewe ikiamua kubakia CCM au kwenda chama kingine cha siasa, hayo ni maamuzi yako binafsi na kamwe siwezi kukulazimisha..
Matako kabisaKuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.
Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.
Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.
Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.
waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ng'ang'ana na ushirikina wako wa ubaguzi wa dini na kijinsia huko gentleman,Bado 2025, Rais Mkristu Mkatoliki, Mwanaume wa kanisa Katoliki Takatifu la Mitume 🙏🙏🙏
ni hatari sana kwa mwana JF kubabaika na imani potofu na ushirikina huku eti akijibambanua yuko fit mentally,Bado kweli kuna mtu anaamini katika Magufuli na CCM. Kweli mtu unambaka makamu wako na bado unatukuzwa na watu, hao watu lazima wawe hamnazo. Huo ndio ushirikina wa wana CCM.
kwahiyo gentleman,Ahahaha kuna mtu juu kule kasema et huwa unapenda kutukanwa tuu natural wewe 😁😁😁🙌🙌🙌
Mkuu inasemekana huyu ni ndugu mbunge 🤔Tafuta kazi chawa wewe.
Una survive kwa kulamba miguu ya watu.Halafu unajikuta Gentleman.
Kumbe ni Halfwit bastard.
Phooool.