Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ila jamaa yuko adicted sana na kubeti,
bila ya hiyo kitu alikua kijana mzuri tu gentleman,

hata hivyo,
ile ya maana zaidi ni wadau wa JF kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct.2025, nimefurahi sana


Watu hawana shinda kabisa kama chaguzi ni za haki ndiyo maana wanachopigania ni sheria kwanza. Hatupingi watu bali sheria nzuri na kama mtu awe Mama Samia au mwingine anashinda kwa kufuata haki na demokrasia hakuna mtu anashida yeyote. Lakini kwenye mazingira ya sasa ya Polisi na usalama wa taifa kuiba chaguzi tutapigania mpaka mwisho kwa faida ya nchi
 
Tuwekee wimbo wa kasongo yeye kwanza alafu ndo tuanze fikiria ombi lako,

Alafu mkuu uyo Nduguyo Lucas Mbona siku izi ameacha kububujikwa na machozi yatakua yamekauka nini ?
wacha waisome namba itapendeza zaidi,

infact,
majukumu ya kulitumikia taifa, familia na binafsi ni mengi sana, halafu muda wa engagements na wadau muhimu sana waJF ni mchache mno, na hasa ukizingatia ndio kwanza mwaka mpya.

Tuungane na Dr. Samia Suluhu Hassan come oct.2025 gentleman
 
Gentleman,
nikuhakikishie tu kwamba uchaguzi mkuu Tanzania wa oct.2025 utakua huru, wa wazi na wa haki kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania.

usipange kukosa kushiriki uchaguzi huu wa kihistoria kuepuka kujuta baadae.

hata hivyo,
tafadhali sana as JF team ni muhimu kuungana na kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan come oct.2025
 


Mabadiliko ya sheria kwanza ni muhimu. No reforms no elections. Serikali za mitaa chaguzi walisema hivyo na matokeo yake nimeona makundi ya haki na mpaka makanisa! Yamesikitishwa na chaguzi. Yaani ni bora tusiwe na chaguzi kuliko kuwa na chaguzi biła mabadiliko. Ni mchakato tuko tayari kupigana
 
Gentleman,
uchaguzi wa Tanzania uanafanyika kwa mujibu wa katiba, na imekua hivyo kwa miaka mingi,

uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa mujibu wa nani anao sheria gani ina tatizo au mihemko binafsi, wanaharakati, taasisi za dini au mataifa ya nje.

suala la uchaguzi kufanyika Tanzania ni lazima, na sio eti bora tusiwe na uchaguzi sijui tufanye nini huko, huko kutakua ni kunajisi katiba ya nchi.

Na kwahivyo,
ni muhimu sana kwa Jf kuunga mkono jitihada za Dr.Samia Suluhu Hassan come oct.2025
 

Na ndiyo maana wadau wanataka manadiliko ya katiba! Hatuwezi kupuuza waangalizi wa kura wa ndani nje, viongozi wa dini …… kwamba wote wanasema uongo. Nchi yetu imefikia panaya sana hizi movement ambazo zinakuja ni kwasababu ya katiba mbovu na sheria mbaya.

Kama Mama Samia ataenda kwenye chaguzi fake watu watakaa nyumbani achaguliwe na Polisi na usalama sawa afanye hivyo lakini hiyo haitasaidia taifa
 
Ni Muhimu sana kwa watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua kuhakikisha ya kuwa tunamuunga mkono Rais Samia kuendelea kutuongoza watanzania kwa awamu ya pili.
Wanasiasa wakimaliza kukutumia watakutupa kama uchafu. I was more patriot than you my little brother. Fursa zote watawapa watoto wao na ndugu zao mkuu. Wee haya tu.

CC: Tlaatlaah
 
Wanasiasa wakimaliza kukutumia watakutupa kama uchafu. I was more patriot than you my little brother. Fursa zote watawapa watoto wao na ndugu zao mkuu. Wee haya tu.

CC: Tlaatlaah
gentleman,
huenda ulikua mtumwa tegemezi na mvivu sana usiejielewa,

unatumiwaje katika nyakati hizi za sayansi na technologia kwa mfano? au ulikua mshirikina gentleman

wewe fursa za kilimo, biashara, ufugaji na siasa zimejazana bwerere nchini, halafu eti unatumika?

kwanini wewe ndio usiwatumie wengine kufanikisha mambo yako kisiasa? au huna maamuzi gentleman kwasababu ya unyonge wa kiuchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…