ila jamaa yuko adicted sana na kubeti,
bila ya hiyo kitu alikua kijana mzuri tu gentleman,
hata hivyo,
ile ya maana zaidi ni wadau wa JF kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct.2025, nimefurahi sana![]()
Watu hawana shinda kabisa kama chaguzi ni za haki ndiyo maana wanachopigania ni sheria kwanza. Hatupingi watu bali sheria nzuri na kama mtu awe Mama Samia au mwingine anashinda kwa kufuata haki na demokrasia hakuna mtu anashida yeyote. Lakini kwenye mazingira ya sasa ya Polisi na usalama wa taifa kuiba chaguzi tutapigania mpaka mwisho kwa faida ya nchi
