Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo halina shaka hata.tusipoenda atashinda mchana kweupe. Ila ingependeza kuwe na presidential debate ukizingatia Raisi.wetu.Dr.SSH amefanya makubwa kupita wenye mi masters yao. Ni genius hasa hili la.nishati.safi ya.kupikia kwa bei ya 58000 elfu mtungi.wa.gesi.

Itapendeza aje na takwimu za kupungua kwa gharama.za.umeme baada.ya kukamilisha JNHPP. Unit imeshuka bei.gani ulizingatia tunaelekea kwenye nisjati.safi.

Ikiwapendeza waja na.takwimu.za.viable.small businesses zilizoibuliwa awamu.ya.sita.sio.za.akina niffer lakini zikisikia tra wanakuja zinafungwa maana haziko.self.sustaining.

Takwimu.za.wages.and.salaries nationwide. Takwimu.za.employment kama.zipo. hapo atapigilia msumari kabisa our.beloved. SSH phd.
 
Tafuta kazi chawa wewe.

Una survive kwa kulamba miguu ya watu.Halafu unajikuta Gentleman.

Kumbe ni Halfwit bastard.

Phooool.
kazi hii ya kizalendo nadhan ni muhimu zaidi kama mTanzania kuifanya kwa maslahi mapana ya Taifa.

Ni muhimu tukaungana as JF team, lakini pia as JF family kwenda na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025,

ama kuna tatizo gentleman ๐Ÿ’
 
Tafuta kazi chawa wewe.

Una survive kwa kulamba miguu ya watu.Halafu unajikuta Gentleman.

Kumbe ni Halfwit bastard.

Phooool.
Hawajui vizuri wanasiasa huyo dogo. Watamtumia kisha wakimaliza shida zao watamtupa kama uchafu.

Mimi nimejifunza kupitia CCM. Nilikuwaga mjinga kama huyo dogo kwa kujiona mimi pia ni patriot na sehemu ya Tanzania.

Nilipigwa na kitu kizito, nikaachana nao moja kwa moja..
 
kazi hii ya kizalendo nadhan ni muhimu zaidi kama mTanzania kuifanya kwa maslahi mapana ya Taifa.

Ni muhimu tukaungana as JF team, lakini pia as JF family kwenda na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025,

ama kuna tatizo gentleman ๐Ÿ’
Huyo Samia anakujua wewe UVCCM Singida vijijini??.. Wanasiasa wakimaliza kukutumia watakutupa kama uchafu. I'm speaking from my personal experience..
 
Tafuta kazi chawa wewe.

Una survive kwa kulamba miguu ya watu.Halafu unajikuta Gentleman.

Kumbe ni Halfwit bastard.

Phooool.
kazi hii ya kizalendo nadhan ni muhimu zaidi kama mTanzania kuifanya kwa maslahi mapana ya Taifa.

Ni muhimu tukaungana as JF team, lakini pia as JF family kwenda na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025,

ama kuna tatizo gentleman ๐Ÿ’
Huyo Samia anakujua wewe UVCCM Singida vijijini??.. Wanasiasa wakimaliza kukutumia watakutupa kama uchafu. I'm speaking from my personal experience..
Kazi za kizalendo hutumiwi na mtu, bali ni kulitumikia Taifa na waTanzania pekeee,

kinyume cha hapo ni utumwa kama experience unayodai unayo.

that is completely useless and completely nonsense ๐Ÿ’
 
kazi hii ya kizalendo nadhan ni muhimu zaidi kama mTanzania kuifanya kwa maslahi mapana ya Taifa.

Ni muhimu tukaungana as JF team, lakini pia as JF family kwenda na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct 2025,

ama kuna tatizo gentleman ๐Ÿ’
Wewe acha zako.

Wewe na wenzako kina Lucas mwashambwa ni wale wale tu.
 
Wewe acha zako.

Wewe na wenzako kina Lucas mwashambwa ni wale wale tu.
zangu zipi tena gentleman?

kazi hizi ni za kizalendo kwa maslahi ya Taifa hatuwezi kuziacha hivi hivi tu ๐Ÿ’
 
Wewe acha zako.

Wewe na wenzako kina Lucas mwashambwa ni wale wale tu.
zangu zipi tena gentleman?

kazi hizi ni za kizalendo kwa maslahi ya Taifa hatuwezi kuziacha hivi hivi tu ๐Ÿ’
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.

Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.

Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.

Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.

waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan ๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
Safi sana. Twende na mama.
 
Kazi za kizalendo hutumiwi na mtu, bali ni kulitumikia Taifa na waTanzania pekeee,

kinyume cha hapo ni utumwa kama experience unayodai unayo.

that is completely useless and completely nonsense ๐Ÿ’
Wewe unafanya uzalendo wa bure, ila wenzako wanakutumia wewe kuingiza pesa. Mimi pia miaka kadhaa nyuma nilikuwa kama wewe mdogo wangu. Wanasiasa wanakupotezea tu muda..
 
Wewe ndiye zezeta ambao Tanzania inao. Hakuna mwenye akili timamu anaweza mchagua huyo zaidi chizi na jinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Lipo jingine linaitwa Lucas Mwashambwa linakichwa kama cha kumbikumbi wa Mbozi.
 
gentleman,
kua huru kutoa maoni yako kwa haki na uwazi,

huenda kutukana ndio umeona ni haki yako, be free kwa faifa ya wadau, but zingatia na uyashike mawaidha ya msingi hapo juu ili Oct 2025 twende pamoja gentleman, right?๐Ÿ’
We chizi tuende pamoja wapi? Yaani kwa yule dalali wa mali zetu WATANGANYIKA?
 
Back
Top Bottom