Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Huwezi kuona umuhimu wa hii siku kama hujampata mtu akautekenya moyo wako ukatekenyeka, kiasi kwamba hata akikohoa wewe uyoo una lundo la polee na faraja za kutosha kwake, namaanishi mtu wa kumpenda/akakupenda atakaekufanya ujue nini maana ya upendo kamili na sio maigizo,Hivi hio siku ndio siku ya Mtakatifu valentin?
sionagi umuhimu wake kabisa tofauti na siku kuu nyingine.
hata hivyo huu ushauri ndugu mleta mada ni mzuri sana, wahusika natumanu watauzingatia, kwa vile wewe ni mwanamke mwenzao labda watakusikia.
Wewe utakuwa umepungukiwa Hisia za upendo, ukimpenda mtu hata hizo sheria zenu za kitapeli ktk vikao vyenu lazima utazivunja ili umfuraishe umpendae, alafu ni nani aliwaambia Valentine ni kwaajili ya watu wenye mahusiano ya kimapenzi? Acheni uchoyo, tugawieni hizo zawadi msifiche pesa zenu mwisho mfe msahau hata kutia password za simu zenu kisa uchoyo nasemajeee, hizo zawadi tupeni tuDr uwe unahudhuria vikao.!!
Tulikubaliana wanawake wote hatuna pesa na hatujawahi kumiliki pesa..!! Sasa ww zawadi za magari pesa tunatoa wapi???
Eti mwenyekiti?? Joannah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kauli mbiu ya chama ;Mwanamke tulia utunzwe
Siko kinyume, ila nita tembelea watoto wanao ishi maisha magumu mtaani.
[emoji117]Buy them some food and drinks, Kisha naishia zangu.
una ufala mwingi sana ww hahahaDr uwe unahudhuria vikao.!!
Tulikubaliana wanawake wote hatuna pesa na hatujawahi kumiliki pesa..!! Sasa ww zawadi za magari pesa tunatoa wapi???
Eti mwenyekiti?? Joannah 😂😂😂😂
Kauli mbiu ya chama ;Mwanamke tulia utunzwe
Morning mkuu, hapo kwenye Mpesa hapo😋😋 si unajua tena hili jina na pesa ni dam dam yani, "i said Yessss" namba yangu nakutumia soon😀😀Basi tu haters watapanic tukianza kutaja zawadi na plan zetu kwaajili ya watu tunaowapenda, lakn kwa ground huko watu wanajitoa sana, watu wana honga asee, watu wanagawa pochi nene, watu wanazigawa zawadi kama hawana akili timamu[emoji3][emoji3], mpaka wanatufanya wengine tujione wanyonge...anyway financial services WILL YOU BE MY VALENTINE??? [emoji28][emoji28][emoji28] kuna kakitu Mpesa kwaajili yako[emoji28][emoji28]
Hahahahaha hii ya wenyewe sie singles tutafute yetuHii haituhusu singles😁
Embu fungua huo uzi wetuHahahahaha hii ya wenyewe sie singles tutafute yetu
Hi,nina zawadi yako valentine hiiNi wapi nikusindikize?
Tusubiri kdgEmbu fungua huo uzi wetu
Hahahahaha,dahDr Lizzy umeandika vizuri sana ila ombaomba na kausha damu hawawezi kukuelewa
Waliachana..?Kuna jamaa alitagiwa na demu wake kwenye tangazo la kuongeza nguvu za kiume.
HahaaaAah mi sitaki gari Muree.
Nipe tu kile ninachokipenda bana [emoji6].
Uki anzia ku support hapo mtaani kwenu, itakuwa fresh Sana🙏🙏Ni wapi nikusindikize?
Hakuna namnaWengi wana mikono ya birika/omba omba, ata kama ana kazi. Dada zetu hamjui kutoa, mnajua kupokea tu.
Nini kifanyike?Hakuna namna