JF Ladies kuelekea #VALENTINE2024 ❤️

Kwa wale RC wenzangu Ash day sku ya majivu ndo itakua kisingizio na kimbilio letu sku izyo
 
Sijawaji kupewa wala kutoa gift ya valentines, japo nishatoa sana zawadi enzi za ujana wangu, kwa sasa nina zawadi moja tu kubwa ambayo nikipata wakuongozana nae kwenye maisha nitampatia, sina ulimbukeni wa kufata sherehe za watu, kwangu mimi zawadi ni pale nikiwa na hela tu sina mkono wa birika mpaka nitoe zawadi kwa siku maalum kana nimelazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…