Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #161
Unaishije mzee sasasina boom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishije mzee sasasina boom
nakula ugali wa shkamoo 😂Unaishije mzee sasa
Mimi nipo apa mwenge karibu na TRA nimemleta mrembo wangu hapa anyoe, sasa sikuwai kuja kabla nimekaa hapa tangu sa 9 mpaka now mtu ananyoa tu yani nimemind sana aisee....... hivi ndivyo siku yangu inavyoisha nikiwa bado nipo hapa
nakula ugali wa shkamoo [emoji23]
Ahahaha wezaako wanajisev ww endelea kumsubiria
Hahahah kaka unachunika vizuri sijui nikupe namba ya kajala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sio kusubiri tu, kunyoa tu hapa na dawa anaweka ni elfu65 na rangi ya kucha ni elfu20 nimelipa alfu85[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah kaka unachunika vizuri sijui nikupe namba ya kajala
Hahahah kaka unachunika vizuri sijui nikupe namba ya kajala