JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

Ebhana leo siku imeenda poa asana nimecheka sana nimeamua ugomvi na nimepiga sana stor now ndio nimerud home maswali ya hapa na pale mwishoe maelewano yapo kama kawa natafuta pozi nianze kuangalia forensic science na the fbi files mpka nilale.

Wenye mapito mabaya leo nipende kuwapa moyo kesho itakua siku njema kwenu.
 
Jambo la kheri
 
Back
Top Bottom