JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Hizo ni mbinu za kuteka watu upande wangu siwezi ku risk kama mtu yupo serious tangazo lake liwe direct sio ana acha maswali ili uende PM muombane number baadae Mafwele yupo mlangoni kwako
Sure!!!

Ila seems alikuwa na biashara kweli maana nilimpa jamaa yangu namba aliyonipa leo nimekutana na huu uzi nimemuuliza waliishiaje anasema walipishana baada ya kumtangazia offer yake jamaa akawa tena hashiki simu yake.
 
Mimi kuna mtu alinifuta PM anaomba msaada pesa kiasi flani nna uwezo nayo lkn kwa usalama wangu nmeshindwa kumsadia sababu za kiusalama
 
Unafikiri naanzaje kununua bidhaa zako mtu mwenyewe utambulisho wako upo nyuma ya pazia, au unafikiri ni nani anakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia, usituhalibie CV mzee, humu tupo vibopa wengi tu tumejazana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana...
Humu wengi hawataki kujulikana..

Ila ukifanikiwa kumkuta Instagram au Facebook mnaenda sawa, ila ukimletea tu habari za JF anaruka futi mia na umemkosa...

Cc: Mahondaw
Acha kuwatetea hela hawana
 
Namba niliweka rudi tena kasome lile tangazo
 
Au sio
 
Sure!!!

Ila seems alikuwa na biashara kweli maana nilimpa jamaa yangu namba aliyonipa leo nimekutana na huu uzi nimemuuliza waliishiaje anasema walipishana baada ya kumtangazia offer yake jamaa akawa tena hashiki simu yake.
Yule jamaa uliyenipa nae njaa kali yaani aliishia kulia lia nae line ile ile hela hana
 
Unaweza kukuta hao wanao nunua hizo bidhaa zako huko Insta ndio hao hao waliomo humu JF,
Sio kwamba mtu akiwa JF basi anakua hayupo kwenye social media zingine,

Sababu kuu ni kwamba,JF watu wanalinda privacy zao kwa usalama wao,ni rahisi kufanya biashara na mtu wa Insta kuliko mtu wa JF coz hapa kila mtu analinda privacy yake kwa usalama wake,ndio maana hata Moderators wa JF wanatumia fake ID's pia,

Kwakumalizia,hakuna uhusiono wowote kati ya kua Great thinker na kua na hela au kutokua na hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…