JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Naunga mkono hoja Jf ni mtandao wa masikini na wajuaji .

Hata ukijaribu kuweka Uzi wa ushauri wa biashara una mtaji wa kiasi kadhaa wanaanza kejeli mara pesa hiyo kabeti tu na BLA BLA nyingine
 
Nilishawahi kujifanya Don kwenye Uzi mmoja , nikakuta vizinga Pm halafu zinakuja kwa ID nyingine sio zile zao maarufu. Mtu ana ID kwa ajili ya vizinga

Cc : secretarybird
 
Jaman Kwan lazma tuwe wote wahaya?? Acha wengine tuwe wachaga na wapare tubane pesa zetu matajir wapo inster 😄😄😄😄😄 hii kauli imenifurahisha
 
Unafikiri naanzaje kununua bidhaa zako mtu mwenyewe utambulisho wako upo nyuma ya pazia, au unafikiri ni nani anakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia, usituhalibie CV mzee, humu tupo vibopa wengi tu tumejazana.
Huna akili .

Mbona humu watu wanaaminiana na Mimi nimenunua bidhaa kwa wengi tu ?

Kwani mtu anatoa pesa kizembe bila bidhaa kuwepo ?

Mimi nilinunua Kitabu humu mtu alinitumia PM then nikamtumia muamala na mwingine nilienda dukani kwake nikachukua mzigo na kutoa hela
 
Mimi sihofii chochote kuhusu kukutana na Jf member Kwa sababu za kibiashara kwani najiamini kuwa hakuna sababu ya kuwindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…