JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Mleta mada anataka matajiri kama nyinyi mnunue AC Instagram,

Anaamini kua kununua AC Insta ndio kipimo cha utajiri na ndio kipimo cha kua Great Thinker.

😀😀
Kwanza kibongo bongo biashara za online bado sana nisha wahi uziwa simu ya hovyo sana ilikua inaisha chaji ndani ya masaa matatu alf jamaa alie niuzia akawa hapokei tena simu
 
Iwapo hiyo ndiyo sababu ya uwepo wako jukwaani hapa tuhesabu hasara kabisa.
 
Kuwa great thinker na kuwa na hela ni vitu viwili tofauti

Was albert eistain rich? Isaac newton? Akina marie curie na max philisophers?

Walikuwa matajiri?
 
Nikweli kabisa watu wengi humu wamejaa dharau na kebehi hata kwenye vitu vya msingi wakati pesa hawana.
Mimi nadhani most of the people kwenye hili jukwaa ni Great sinkers. Na sio great thinkers kama ulivyokuwa hapo nyuma.
 
Watu wa insta hawaijui jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikweli kabisa watu wengi humu wamejaa dharau na kebehi hata kwenye vitu vya msingi wakati pesa hawana.
Mimi nadhani most of the people kwenye hili jukwaa ni Great sinker. Na sio great thinker kama ulivyokuwa hapo nyuma.
Sema ww kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…