Jf members mpunguze uongo kidogo

Kuna ule uongo wa story jukwaaa linaburudika kama story za mwamba mmoja anaitwa guDume hazina tatizo kabisa , Tatizo lipo kwa hawa madogo kuna mmoja nimekutana nae kwenye nyuzi za mambo ya Majeshi haswa pale JW linapojadiliwa kwa kudhihakiwa na yeye comment zake ni nyingi saana anaponda vibaya mnoo kwamba kazi ya kijinga na bla bla nyingi sawa sio tatizo ila tatizo linakuja tena namkuta jukwaa la ajira kwenye wa uzi wa ajira za polisi, magereza na zimamoto anatia huruma tena anauliza nafasi za JW Lini, lonja na taratibu ridiculous hahah sasa wakati mwingine huwezi amini Miujiza ipo mtu ana nafasi kabisa na hana wakumpeleka kwa kauli zako za kishenzi na ujuaji wa kijinga unapishana na ndoto
 
point 3 kwako!
 
Ukiwa muongo muongo hakikisha usiwe msahaulifu.
Na ukishajua uongo wa mtu,hupaswi kumstua.Ukimstua atakusumbua kwa kubadilisha mbinu.Hata hivyo,kama mtu anatoa stories za uongo ili kuifurahisha nafsi,yafaa nini kumkwaza?Aachwe afurahi.Nami nikijua hamsimangi mtu,namuunga mkono kwa komenti za komedi.😂😂😂😂😂
 
Njia ya mwongo always ni fupi
Mchane LIVE tupunguze idadi ya chai JF
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni balaa na nusu
 
Huu uzi nimekuwa naupita tu bila kusoma content iliyomo ndani, hakika umejua kunifurahisha kwa kweli[emoji23][emoji23] Ndio maana Maxence Melo anashauri uwe na walau IDs mbili, moja ya kimasikini na uuvae umaskini, halafu nyingine uwe tajiri tena zaidi ya Mo Dewj na uuvae utajiri (Jokes) [emoji23][emoji23]
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23] Hadi nimelia na mafua juu
 
Anza na mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha tu nicheke kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…