Mkuu BAK yupo ila siku hz amekuwa kimya sana mkuu. Muondoe kwenye orodha ya members waliopotea.Hebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
Sikia hapo juu ladies kasemaje?mimi ndio mmiliki🫠Wewe uko wapi sasa hapa maana wewe ni 1 stand
Hahahahaha,hili Jimbo Ni lako la kudumu milele mpk mwisho ,fomu Ni moja tu na ushaichukua umejazaNaona kama mrembo analinyemelea jimbo langu nimestuka sana
Usikute na wewe ushakufa afu hujui mzeeKuna id moja imelike comment yangu afu ni RIp nimeshutuka sana
Hahahahaha,tena wewe wakuache kbsSikia hapo juu ladies kasemaje?mimi ndio mmiliki🫠
Asante baba,moyo wangu nimekuachia kaa naoHahahahaha,hili Jimbo Ni lako la kudumu milele mpk mwisho ,fomu Ni moja tu na ushaichukua umejaza
Nadhani kaelewa.Hahahahaha,tena wewe wakuache kbs
Hahahahahahaha.....@
Asante baba,moyo wangu nimekuachia kaa nao
MWanaume kama kweli anakupenda angesema joana mzima sasa unaanza wewe mwenyewe eti hatujamboo kama kuna mtu anataka kukuchukulia .Sikia hapo juu ladies kasemaje?mimi ndio mmiliki🫠
Itakua vzr Kama kaelewaNadhani kaelewa.
Hahahahahaha,we hofu yako nn tena,rafikiMWanaume kama kweli anakupenda angesema joana mzima sasa unaanza wewe mwenyewe eti hatujamboo kama kuna mtu anataka kukuchukulia .
NGoja nicheke kwanza . Tuongee my friend sasa vacation anakupelekaga wapi ??
Mwenzangu hana amani anaona nakuchukua nikamuuliza vacation anapelekwaga wapi ?? Au umemjengea ghorofa anaona nakuchukua . Mie siwezi nimeupgrade kidogo i need something high class , plus money a lot of itHahahahahaha,we hofu yako nn tena,rafiki
😂😂Itakua vzr Kama kaelewa
Ananipenda sana,,,sie wenzio maisha yetu everyday is vacation..ni bampa to bampaMWanaume kama kweli anakupenda angesema joana mzima sasa unaanza wewe mwenyewe eti hatujamboo kama kuna mtu anataka kukuchukulia .
NGoja nicheke kwanza . Tuongee my friend sasa vacation anakupelekaga wapi ??
Mwanaume wa jf akikupa ml 1 kama matumizi njoo nikupe hugAnanipenda sana,,,sie wenzio maisha yetu everyday is vacation..ni bampa to bampa
Rafiki ana hofu sanaHahahahahaha,we hofu yako nn tena,rafiki
Yeye sio wa JF,yeye ni jirani yangu mtaaniMwanaume wa jf akikupa ml 1 kama matumizi njoo nikupe hug