JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Hahahahahaha,we hofu yako nn tena,rafiki
Mwenzangu hana amani anaona nakuchukua nikamuuliza vacation anapelekwaga wapi ?? Au umemjengea ghorofa anaona nakuchukua . Mie siwezi nimeupgrade kidogo i need something high class , plus money a lot of it
 
MWanaume kama kweli anakupenda angesema joana mzima sasa unaanza wewe mwenyewe eti hatujamboo kama kuna mtu anataka kukuchukulia .

NGoja nicheke kwanza . Tuongee my friend sasa vacation anakupelekaga wapi ??
Ananipenda sana,,,sie wenzio maisha yetu everyday is vacation..ni bampa to bampa
 
Back
Top Bottom