JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Kupotea mtandaoni kunaweza kuwa na sababu nyingi; kubadili ID, kifo, kuachana na mambo ya mitandao, mihangaiko ya maisha n.k
 
Hivi Jamiiforums hawa watu wapo kweli??? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuna member fulani kama sikosei alikua anajiita The coded au Coded,
ID yake ilikua kama hivyo yani,

Yule jamaa alikua kichwa sana,sijui alipotelea wapi.
Kuna jamaa alikua anajiita davinci, huyu jamaa ni GT Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…