Nyengo3
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 523
- 1,307
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh!!Sasa hivi panamuonekano tofauti na kipindi kile 😂 haswa kipindi Cha masika.
Fika ukapaona live 😂😂Mmhh!!
Hivi ndugu yangu 🤣View attachment 3115498
Kuna mmoja apologize lady
Nitaenda , manyara kwa ujumla wake ni sehemu ninayo kusudia kwenda kutalii ikiwezekana na kuwekeza, nakupenda sana manyara na sehemu zake zote.Fika ukapaona live 😂😂
Min me pita kule Jamii intelligence utakutana nae
Pako vizuri. Ufike Hanang' pia eneo la Basoutu kuanzia Murjanda, murbadaw, plantation shamba ya jeshi Pako vizuri sana 😊😋😋Nitaenda , manyara kwa ujumla wake ni sehemu ninayo kusudia kwenda kutalii ikiwezekana na kuwekeza, nakupenda sana manyara na sehemu zake zote.
Muongo wewe😂😂 Kona ya upenuni kila siku tunapishana
Huyu litutumbwe kaja juzi tu hapo na uzi wake wa masihara kwamba mke wake kamlisha chakula kingi anataka kumuua.
Bila shaka ni nyumbani kwenuPako vizuri. Ufike Hanang' pia eneo la Basoutu kuanzia Murjanda, murbadaw, plantation shamba ya jeshi Pako vizuri sana 😊😋😋
Je wako hai?Hebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
Paula Paul amepotea mno aiseePaula Paul wa uzi wa bookworms?