Ingia jukwaa la wakubwa kule hakuna mambo ya kufichaYani kusema ukweli mimi JF ya sasa hivi sijaipenda kabisaa
Hapa natafuta website nyingine nikaweke lulu zangu kule
Kila kitu uki upload wanakitoa MMU wanakuleta CHITCHAT sijui kwanini!
Huko MMU sijui wanataka tuandike nini labda?! It's boring kwakweli, BORING
Jukwqa lipi?! Linaitwaje?!Ingia jukwaa la wakubwa kule hakuna mambo ya kuficha
la wakubwa huko ni mambo ya wakubwa tu hamna anayekuzuia wapm modsJukwqa lipi?! Linaitwaje?!
Hata sijakuelewa njoo pm tuongeela wakubwa huko ni mambo ya wakubwa tu hamna anayekuzuia wapm mods
ila huko hatupendi maneno mengi kama unayoandikaga huko ni mapicha tu na mavideoJukwqa lipi?! Linaitwaje?!
Khaaaa pm tenaHata sijakuelewa njoo pm tuongee
Basi asante nashukuruila huko hatupendi maneno mengi kama unayoandikaga huko ni mapicha tu na mavideo
It feels good to be recognized... I am Humbled (In Lemutuz Voice)Namwelewaga sana heaven on earth, she's so cool and she might be Beautiful i guess
Nini tatizo???Naandaa mandamano ya Amani kupinga list hii ya Mahondaw ya kukurupuka. wale wote ambao wameachwa tukusanyike na vyeti vyetu.
Asee hii nchi bure kabisa hata ndani ya JF mambo yaleyale.
Mh huko mi hapana hukoAhaaaa.. Hapo mahondaw nimekuelewa..
Mimi kila msimu huwa nahama majukwaa..
Ila nimejikita kwenye lile jukwaa la wakubwa kule chini ambalo wengi wenu hamlijui
Amich uuu much more Excelupogo besti?
kwa kweli maisha yanapigisha watu kona balaa!
nimemiss sana uwepo wako na marafiki zangu wengine wote!
imfikie ICHANA, Window7 Miss Neddy and co...
kwa kweli nimewamiss mno..
Kweli ni pm mama tuyajenge unanifaa kabisaMasihara hayo jamani
Ni haki ya kila mtu kueleza hisia zake pale moyo unapotamani kusukuma vingine. Naunga mkonyo hoja.Kweli ni pm mama tuyajenge unanifaa kabisa
Akili baadae saana (mabeste sound)Afate moyo wake asisahau kubeba akili yake ohoooo