Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ingia jukwaa la wakubwa kule hakuna mambo ya kufichaYani kusema ukweli mimi JF ya sasa hivi sijaipenda kabisaa
Hapa natafuta website nyingine nikaweke lulu zangu kule
Kila kitu uki upload wanakitoa MMU wanakuleta CHITCHAT sijui kwanini!
Huko MMU sijui wanataka tuandike nini labda?! It's boring kwakweli, BORING