JF- MMU versions

JF- MMU versions

Yani kusema ukweli mimi JF ya sasa hivi sijaipenda kabisaa
Hapa natafuta website nyingine nikaweke lulu zangu kule
Kila kitu uki upload wanakitoa MMU wanakuleta CHITCHAT sijui kwanini!

Huko MMU sijui wanataka tuandike nini labda?! It's boring kwakweli, BORING
Ingia jukwaa la wakubwa kule hakuna mambo ya kuficha
 
Naandaa mandamano ya Amani kupinga list hii ya Mahondaw ya kukurupuka. wale wote ambao wameachwa tukusanyike na vyeti vyetu.

Asee hii nchi bure kabisa hata ndani ya JF mambo yaleyale.
Nini tatizo???
Ee nambie tu jamani
Nimetoa sehemu ya kuongezea na kuchangia uonavyo wewe
 
Back
Top Bottom