Haahaaa....hakuna kujuana pale!Relax! Wewe tena best!... That day kabla wengine hawajaonja wewe utakuwa wa kwanza... Maana Nina hamu hata nikuone tu and the easiest way ni kumtafuta witnessj kama nampa dish vile kumbe nataka nikuone tu. [emoji16][emoji176]
Utakuja handsome boy?Naona mnajiandaa kula maisha....
Utakuwepo?
Utakuja @Daby?
Huwezi nijua nakuapia!Mimi nikikuona ntakujua
Imekaa kushoto sanaNilishaendaga huko imefika saa nne mwenyeji anaenjoy tu kupiga story na mimi wakati nimempanga bby mjini. Kigamboni ingegawanywa tu Pwani
KigaItafanyikia wapi?
Kabisa my....pale tunaenda kudance, kunywa, kula na kufurahi hakuna kujuana!Itabidi nikuite jina feki[emoji23][emoji23]
Unanisema?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mazoea tuu...mi vitu vichungu namimi vinanizingua!
Hakuna kitu nashangaa kumuona mdada kashika safari lager anashusha kooni asee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
Unapiga journey lager shost??[emoji15] [emoji15] [emoji125]Unanisema?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijajua nitakuwa wapi kwa kipindi hicho Dec...Kiga
Hapana sijabahatika!Sijajua nitakuwa wapi kwa kipindi hicho Dec...
Hujawahi kwenda kwa party yoyote ya wanaJF?
Nakunywa nyingi hadi mda mwingine najistukia dad kanirithisha[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unapiga journey lager shost??[emoji15] [emoji15] [emoji125]
Haikusumbui coz nasikia ni kali sana?Nakunywa nyingi hadi mda mwingine najistukia dad kanirithisha[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hazinisumbui mimi napendaga pombe kali kali tu,nipo addicted na hizo safari nikizikosa huwa naumwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] na hazija nipa kitambi[emoji12] [emoji12]Haikusumbui coz nasikia ni kali sana?
I mean hulewi sana?
Hilo tu, jepesi.Anza na wenye beach house iwe rahis rahisi