JF Party On My Mind

Hazinisumbui mimi napendaga pombe kali kali tu,nipo addicted na hizo safari nikizikosa huwa naumwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] na hazija nipa kitambi[emoji12] [emoji12]
Hongera asee....kweli kila mtu na kichwa chake!
 
Kwa style hiyo nami nitakuja nile vinono kwakweli lols
 
Naona mambo za Bata Batabani....tehteehh
Nimejikuta nawakumbuka baadhi ya member tulio kutana miaka uleeeeee wakati tunapeleka chochote kitu pale Muhimbili.
Cc: Mtambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…