General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Aya bhanaaWewe hujui kuwa tumetofautiana vichwa?[emoji15] [emoji15]
Kilevi changu sio kilevi chako.....hatufanani vichwa get point!
Madeira kiboko....yaaan ile ningekuwa nagusa ningezima ziii[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji23]Regency, Madeira, sherry
Hizo mjomba akitoka zake China huja nazo kibao.
Ya kibongo naona Image naikubali sanaaa!!
Kama hazikutaki ziache sasa...utakunywaje kitu kinakutesa?Aya bhanaa
Mi sina bahati kabisaa, nimezungukwa na pombe ila pombe hazinitakii.
Kila nikijilazimisha zinaniumizaa sanaa.
Sket ndo ugonjwa wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hazikutaki ziache sasa...utakunywaje kitu kinakutesa?
Piga chini, hamia kwenye sketi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umri ushaenda haya makitu siwezi tenaBabu rudi nyumbani kumenoga
Regency, Madeira, sherry
Hizo mjomba akitoka zake China huja nazo kibao.
Ya kibongo naona Image naikubali sanaaa!!
Fortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!
Unakunywa capirinya??
Asee hii party naona Mohans ndio watahusika ktk vinywaji ,TBL ,SBL na TDL imekula kwaoMimi bia imenishindaa!!
Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.
Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.
Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.
Cider harufu ya Apple imenishindaa,
Liqueurs naona kama nadanganywa afu not naturals.
Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Kuna chupa moja hapa sijaifungua, fanya nikupee.Madeira kiboko....yaaan ile ningekuwa nagusa ningezima ziii[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji23]
Of course.... Kuna vilevi viwili tu hapa on earth pombe or sketi! Japo kuna wabishi[emoji15]Sket ndo ugonjwa wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu naokutana nao wanazimua pombe balaa, zikiwapandaa napewa vyotee!!
Uwoga wako ni nini mkuu?Asee hii party naona Mohans ndio watahusika ktk vinywaji ,TBL ,SBL na TDL imekula kwao
Hapana thanx situmii hizo....mi soft drinks tu sina makuuKuna chupa moja hapa sijaifungua, fanya nikupee.
No, simpi pombe ili alewe ndo nimgegede.Of course.... Kuna vilevi viwili tu hapa on earth pombe or sketi! Japo kuna wabishi[emoji15]
Mwanamke ambae anakunywa pombe analewa halafu analiwa huwa namshangaa na kustaajabu sana!
Yaaan I can't get it![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapo sawa!....nilifikiri una kula vibudu[emoji15] [emoji15]No, simpi pombe ili alewe ndo nimgegede.
Anakuwa willing, sema wengine pombe inampa ujasiri wa kufanya mengii
Heee!!Hapana thanx situmii hizo....mi soft drinks tu sina makuu
Nope I mean sinywi hard drinks like hizo fortified wines or spirits!Heee!!
Sijakuelewa!!
Unatumia soda tu?
No,Hapo sawa!....nilifikiri una kula vibudu[emoji15] [emoji15]
Ooh,Nope I mean sinywi hard drinks like hizo fortified wines or spirits!
Mi ni soft wines za kidadaz tu na ni lazima iwe sweet n white!
Haaaahaaaaa....we jamaa bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] very fun haahaaa!No,
Sijawahi kubaka mimi.
Nishalala na dem ambae alilewa chakar lkn sikumgusaa.
Aliniambia toka mwanzo nisimfanye chochotee.
Ila najuta mana kwa sasa ni star, inaniuma sana [emoji39][emoji39][emoji39]. Juzi kati namwambia we mtoto najuta kwanini siku ile nilikuacha, anajichekesha tu, ila kanihaidi atanipaa siku mojaa lkn mpk nituliee [emoji85][emoji85][emoji85]
Ila ingeniumiza sana km ningemfanya siku ile, ni ubakaji ule.
Natumia only imported beverages mkuu!Ooh,
Nilitaka nishangaee, mana soft drinks mi najua ni soda tu.
Basi njoo nikupe dodoma
Naona mnaongelea makitu hata siyajui hii party itakua hatari sana, hy kaunta sio ya nchi ya TanzaniaUwoga wako ni nini mkuu?
Ningejisikia aibu sanaaa,Haaaahaaaaa....we jamaa bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] very fun haahaaa!
Asee ungemla kalewa angekulaani wadada hawapendi mambo hayo!