JF Party On My Mind

Dodoma wine hatunywii. Tuleteee Souvenir Cc witnessj
Utaniambia inasimamaje
Nimeambiwa watu wanazinguaga michango. Ila hata wakiwa watu kumi inatafutwa venue ya hiyo idadi watu tunakula bata
Watu wachache ndio mzuka ,na inawezekana vzr
Kwa mfano mchumba unaweza toa offer ya champagne kwa best couple.
Ngoja nguli wa hizi kazi uniupdate na mimi mama ntaleta update bila shaka..
 
Hata sielewi bado
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona mapicha picha au na mimi sielewi?
U meant gathering ya members humu, if YES ndio nikauliza JF members ni anonymous to each other, is your plan executable? May be kwa wachache ambao privacy si issue sana.
 
Anhaa. Mbona washafanyaga kama mara tatu mkuu? nyie new comers ndo mnaona kama gathering kitu cha ajabuu ila wakongwe kukutana kawaida kwao. So hakuna jipya
 
Anhaa. Mbona washafanyaga kama mara tatu mkuu? nyie new comers ndo mnaona kama gathering kitu cha ajabuu ila wakongwe kukutana kawaida kwao. So hakuna jipya
Umenipiga pin ya spinal cord[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…