JF Party On My Mind

Not each and everything, ni katika kunogesha tu,wahudhuriaji wapate japo ka wine kwa watakao vutia lkn kwa aina ya majibu, nachelea kusema ahsanteni ,nitachanga kawaida tu
Hahahahahahahaa
 
Kwahiyo unaona sifa mkuu kitembea na wake wa wenzio?
Infwact siyo wake zao ni MICHEPUKO yao. Ila wao hujitangazia humu kwamba ni mizigo yao ingawa na siye tunawabamba kimya kimya.

Forget hilo la WAKE.
 
Infwact siyo wake zao ni MICHEPUKO yao. Ila wao hujitangazia humu kwamba ni mizigo yao ingawa na siye tunawabamba kimya kimya.

Forget hilo la WAKE.
Hahahhahahahahhahahahahahhahahahha khaaaa mkuu una ubuyu mtamu mtamu eeeh
 
Mimi sitahudhuria, gathering za hivyo huwa siyo mpenzi.

I can do ile ya watu wachache sana, wasiozidi 20, ambao ni rahisi kukata meza moja, ila hiyo hata nikihudhuria sitainjoy.

Kwenye za watu wengi hivyo huwa najikuta nimejitenga automatically.
Na vile mkipiga picha ya pamoja wewe lazima utokee vibaya.
Hahahaha
 
Not each and everything, ni katika kunogesha tu,wahudhuriaji wapate japo ka wine kwa watakao vutia lkn kwa aina ya majibu, nachelea kusema ahsanteni ,nitachanga kawaida tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…