Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa pombe hizo za kimataifa ? Mkuu kuna mdau hapo katoa wazo zuri tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kisa anataka kugharamia kila kitu
Nimeliona mkuu na liko Gud kiukweliKwa pombe hizo za kimataifa ? Mkuu kuna mdau hapo katoa wazo zuri tu
Infwact siyo wake zao ni MICHEPUKO yao. Ila wao hujitangazia humu kwamba ni mizigo yao ingawa na siye tunawabamba kimya kimya.Kwahiyo unaona sifa mkuu kitembea na wake wa wenzio?
Hahahhahahahahhahahahahahhahahahha khaaaa mkuu una ubuyu mtamu mtamu eeehInfwact siyo wake zao ni MICHEPUKO yao. Ila wao hujitangazia humu kwamba ni mizigo yao ingawa na siye tunawabamba kimya kimya.
Forget hilo la WAKE.
Na vile mkipiga picha ya pamoja wewe lazima utokee vibaya.Mimi sitahudhuria, gathering za hivyo huwa siyo mpenzi.
I can do ile ya watu wachache sana, wasiozidi 20, ambao ni rahisi kukata meza moja, ila hiyo hata nikihudhuria sitainjoy.
Kwenye za watu wengi hivyo huwa najikuta nimejitenga automatically.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Not each and everything, ni katika kunogesha tu,wahudhuriaji wapate japo ka wine kwa watakao vutia lkn kwa aina ya majibu, nachelea kusema ahsanteni ,nitachanga kawaida tu
Na vile mkipiga picha ya pamoja wewe lazima utokee vibaya.
Hahahaha
Kwa nini unampangia mtu cha kufanya?Chili mkuu, kila mtu apambane kivyake.
Kama kuna wa kumpa offer ni sawa, lakini kwa jumla achana na hiyo habari.
Wewe unapangiwa cha kufanya? Huna maamuzi??Kwa ujumla siwezi hata iweje,nilifikiria sapoti ya japo chupa kadhaa za Dompo ,lkn nayo napotezea zamani
Nazingatia ushauri wako Mkuu
Kwa nini unampangia mtu cha kufanya?
Huo ndo uanaume sasa![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kisa anataka kugharamia kila kitu
Yukoje yukoje simfatiliagi[emoji15] [emoji15]Ndo zake hujamsomaga tu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji119] [emoji23] [emoji125]Hahahahahahahaa
Huo ndo uanaume sasa!
Usipangiwe fanya vitu kwa utashi wakoKwa pombe hizo za kimataifa ? Mkuu kuna mdau hapo katoa wazo zuri tu
Lipi?[emoji15]Nimeliona mkuu na liko Gud kiukweli