Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifanye iwe oct 10 basi kwaana dec wengine tutaenda kuhesabiwa.Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Sinywagi pombe toka nizaliwe ... Tufanyeje sasaHamna shida uhakikishe unaingia jikoni na chupa kubwa ya Jack Daniel hakika tutapiika mpaka asubuhi
Za JF zote zilikua na vinywaji kdg na vitafunwa ,OK nisiharibu wazo lako ,naunga mkono hoja ingawa nitakua mpokea ripoti humu JFKwani vinywaji wanapewa? sasa mimi na Shunie si tutawapunja jamani? Mi naona hiyo elfu 10 kwa ajili ya venue vingine mtu anajitegemea. Sijawahi enda party tukapewa vinywaji au msosi aisee.. labda iwe kitu kama dinner party hivi kuwe na msosi na vinywaji
Ndio inavyofanyika. Tafuta ukumbi mzuri mfano Escape One,ongea nao ujue gharama za kupata section kwa ajili ya party yako. Organize few drinks etcOoooh.. hii naweza kuorganize bila shida. Ntaongeana boss Max tuone inakuaje.
Na birthday part ikasheherekewa na keki ikaliwa ,full kutambulishanaYes mkuu... Ilikuwa poa sana. Nakumbuka kukutana na watu wengi wengine tumekuwa marafiki hadi leo.
I hope s/he will able able to pull this through.[emoji15] Lazima niwepo labda huyo organizer ashindwe yy tu
OK mie niliona vile waliotangulia walivyofanya , we unaweza kuja tofauti ,kiingilio elf 10 ,dah asee hii km unaenda club vileKwa elfu 50 vinywaji na msosi lazima viwepo. Sasa hiyo si itakua kubwa lakini mkuu?
Natumia simu mpya. Come through DM.Njoo whatsapp dakika moja
AhahahahahahahaSijakwambia unywe lakinj
Akiweka kiingilio elfu 10 aise siji.OK mie niliona vile waliotangulia walivyofanya , we unaweza kuja tofauti ,kiingilio elf 10 ,dah asee hii km unaenda club vile
December mwishoni huko wengi huwa tusha-shut down hatupo mjini.December kabla ya sensa... mwenyewe kabla ya tarehe 25 natakiwa kuwa uchagani..
This time around iwe mchana, twendeni beach kali kaliiii.Ndio inavyofanyika. Tafuta ukumbi mzuri mfano Escape One,ongea nao ujue gharama za kupata section kwa ajili ya party yako. Organize few drinks etc