JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Ifanye iwe oct 10 basi kwaana dec wengine tutaenda kuhesabiwa.
 
Kwani vinywaji wanapewa? sasa mimi na Shunie si tutawapunja jamani? Mi naona hiyo elfu 10 kwa ajili ya venue vingine mtu anajitegemea. Sijawahi enda party tukapewa vinywaji au msosi aisee.. labda iwe kitu kama dinner party hivi kuwe na msosi na vinywaji
Za JF zote zilikua na vinywaji kdg na vitafunwa ,OK nisiharibu wazo lako ,naunga mkono hoja ingawa nitakua mpokea ripoti humu JF

Anayehitaji nitamchangia hy elf 10
 
Ndio inavyofanyika. Tafuta ukumbi mzuri mfano Escape One,ongea nao ujue gharama za kupata section kwa ajili ya party yako. Organize few drinks etc
Thank you. Umetoa mwanga
 
Back
Top Bottom