JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Muaandaaji hapa kuna wazo ujue,jaribu kuweka activities Fulani ndogo ndogo za kuvutia ,watu wajishindie hata chupa za champagne/wines , mfn couples bora ya JF, mchangiaji bora ,vitu km hv (wazo tu)
Hapa kusema mtu mmoja atoe offer zote itakua ngumu, japo najua wapo wenye uwezo wa kufanya hivyo, kila mmoja awezachangia kulingana na uwezo wake na ikafana sanaa.
 
Ni kweli Mkuu ,MTU mmoja kufanya yote ngumu ,ila MTU mmoja mmoja anaweza dhamini ,mfano, wewe mbuzi ,mie Dompo au Dodoma wine
 
Kuna tajiri anaitwa Mikwara Ya Andunje amesema vinywaji ni juu yake... (Joking).

Ila ukweli utaratibu wa kuchangia equal amount nadhani ungekuwa favorable kwa kila mmoja.

Unakuja ukiwa na confidence ya kwamba unakula cha kwako, mambo ya watu kuahidi ntatoa hiki wakati mwingine yana disappoint pale aliyetoa ahadi akikwama last minute.
 
Mimi nitatoa yuli 57[emoji767]
 
Equal ni nzuri zaidi ,hz nyingine MTU apende tu
 
Hahahah mm kwa majina yang naitwa Richard joseph kutoka mkoa wa Arusha na wakaribisha arusha kwa walioa Arusha tutaftane kupitia namba 0765937978

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom