witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
YaaanHapo ndo pagumu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaanHapo ndo pagumu!!!
Meona eeeh!...sijui watu tukoje?Hahaha, na baada ya party tegemea baadhi ya ID kupotea na ID mpya kuibuka , Post na comments za kiaina Fulani kuwepo
Hapa kusema mtu mmoja atoe offer zote itakua ngumu, japo najua wapo wenye uwezo wa kufanya hivyo, kila mmoja awezachangia kulingana na uwezo wake na ikafana sanaa.Muaandaaji hapa kuna wazo ujue,jaribu kuweka activities Fulani ndogo ndogo za kuvutia ,watu wajishindie hata chupa za champagne/wines , mfn couples bora ya JF, mchangiaji bora ,vitu km hv (wazo tu)
Ni kweli Mkuu ,MTU mmoja kufanya yote ngumu ,ila MTU mmoja mmoja anaweza dhamini ,mfano, wewe mbuzi ,mie Dompo au Dodoma wineHapa kusema mtu mmoja atoe offer zote itakua ngumu, japo najua wapo wenye uwezo wa kufanya hivyo, kila mmoja awezachangia kulingana na uwezo wake na ikafana sanaa.
Kwa staili hii ya mmoja mmoja na watu wakawa siriazi itafana sana.Ni kweli Mkuu ,MTU mmoja kufanya yote ngumu ,ila MTU mmoja mmoja anaweza dhamini ,mfano, wewe mbuzi ,mie Dompo au Dodoma wine
Ni kazi ya waandaji kujenga ushawishi,inawezekana kabisaKwa staili hii ya mmoja mmoja na watu wakawa siriazi itafana sana.
Ni kweli Mkuu ,MTU mmoja kufanya yote ngumu ,ila MTU mmoja mmoja anaweza dhamini ,mfano, wewe mbuzi ,mie Dompo au Dodoma wine
Kitengo nimekipata usiwe na hofu kabisa kipenziFanya hima upate kitengo kipenzi maana hii si ya kukosa.
Ila usijelewa sana ukantia aibu bhana
Unapenda nitapenda ukiweka inayofanana na wewe au mke wa mtuNiliipenda tu
Kitengo nimekipata usiwe na hofu kabisa kipenzi
Mimi nitatoa yuli 57[emoji767]Kuna tajiri anaitwa Mikwara Ya Andunje amesema vinywaji ni juu yake... (Joking).
Ila ukweli utaratibu wa kuchangia equal amount nadhani ungekuwa favorable kwa kila mmoja.
Unakuja ukiwa na confidence ya kwamba unakula cha kwako, mambo ya watu kuahidi ntatoa hiki wakati mwingine yana disappoint pale aliyetoa ahadi akikwama last minute.
hahahaha nimekwisha zeeka vyote hivyo vilikuwa enzi zile. Huu mchango nimeanza na wewe maana huwa hutaki kuzidiwa kiasi cha mchango na mwingine.Kama sio mlevi wa pombe basi mlevi wa pete za visoda aaah kachukue michango kwa wengine mie wa mwishoooo
Taarifa kuhusu kiasi cha mchango nashughulikia mimi. Unanijua nilivyo vizuri kwenye kuhesabu fedha japo sijui kuandika wala kuhesabu number.Basi mie naanza kujiandaa,nasubiri Mzigua90 apandishe uzi wa updates tu zoezi limefikia wapi na kiasi cha mchango
Equal ni nzuri zaidi ,hz nyingine MTU apende tuKuna tajiri anaitwa Mikwara Ya Andunje amesema vinywaji ni juu yake... (Joking).
Ila ukweli utaratibu wa kuchangia equal amount nadhani ungekuwa favorable kwa kila mmoja.
Unakuja ukiwa na confidence ya kwamba unakula cha kwako, mambo ya watu kuahidi ntatoa hiki wakati mwingine yana disappoint pale aliyetoa ahadi akikwama last minute.
mkuu harakati zako za kuzamia umeacha siku hizi?Naona mnajiandaa kula maisha....
Equal ni nzuri zaidi ,hz nyingine MTU apende tu
Natumai Mkuu ukiacha Mchango wa kawaida ,uta Top Up hapo chupa kadhaa ,watu walanduke vzrYes, ikitokea mtu akatoa iwe topup, ukiwekea matarajio kwa kitu cha mtu akifeli ni shida, halafu hawatoagi taarifa mpaka dakika ya mwisho.