Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Utaniambia inasimamajeDodoma wine hatunywii. Tuleteee Souvenir Cc witnessj
Watu wachache ndio mzuka ,na inawezekana vzrNimeambiwa watu wanazinguaga michango. Ila hata wakiwa watu kumi inatafutwa venue ya hiyo idadi watu tunakula bata
Kwa mfano mchumba unaweza toa offer ya champagne kwa best couple.
Ngoja nguli wa hizi kazi uniupdate na mimi mama ntaleta update bila shaka..