DUA SHAMBANI KWA CHAUREMBO 1956
Na Mohamed Saïd.
Picha ya Hapo Juu ni moja ya Kumbukumbu za harakati ya Walioshiriki Kupigania Uhuru wa Tanganyika( Tanzania).
Kipindi kile dini ziliwaunganisha wa Tanganyika dhidi ya utawala dhalim wa kikoloni. Quran na Dua kwa wingi vilisomwa, kupitia swala za usiku, na nyakati tukufu za kujibiwa dua kama vile siku ya Ljumaa zilitumika.
Picha ya hapo juu ni Mwaka 1956 Shambani kwa Shekhe Abdallah Iddi Chaurembo, wanaharakati wa Kiomba Dua ya Pamoja.
Dua hii iliongzwa na Shekhe Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.
Waliokaa chini kutoka kulia:
1 Sheikh Hussen Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohd I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Shk. Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaur
13. Ahmed Mohamed
14. Al amudy family
15. [emoji24]. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...
Waliokaa vitini:
1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo ( amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu( Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukoko
17...
Waliosimama:
1. Dosa Aziz
2. Mwalimu Thomas Plantan
3. Sheikh Haidar Mwinyimvua.
4. ....
5......
6.....
7. Omar Londo
8. Mahdi
9. Boi wa Zingizi
10. Abdulwahid Sykes
11. Konyaki
12.....
13. Maalim Juma Mbaruku.
14. Sheikh Salum Gundum
15. ...
16. Ramadhani I. Chaurembo
17. Mzee Mwinjuma Mwinyikambi
18. Sheikh Sueleman Takadiri
19. Mzee Rajabu Diwani
20. Mzee Ali
Waliosimama nyuma kabisa kutoka kulia:
1...
2....
3. Muhsin Mende
4...
5.....
6.....
7. Sheikh Abdallah Pilau
8. Sheikh Mohd Mattar
9. Al Amudy family
10. Al Amudy family
11. Sheikh. Ramadhan Abbas
Taarifa hii imepata kwa hisan ya Sheikh Iddi Chaurembo.
#255Tanganyika
#TanganyikaHistorical
Sent using
Jamii Forums mobile app