Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #4,561
Ndugu Watanzania!
Taarifa zinasambaa kuwa Kifungu cha Sheria kinachozuia rasilimali za nchi kumilikishwa kwa wageni, kinafanyiwa marekebisho! Kama wakibadilisha Sheria hiyo, basi watakuwa huru kuwauzia wageni mbuga za wanyama, mito, maziwa na Bahari. Hakuna atakayewakemea watu hawa isipokuwa Mungu mwenyewe. Watu hawa wajue jambo hili limefika kwetu Askofu. Kama kusema hayo ni uhaini basi Mungu ndiye atakayekuwa mwamuzi kati yetu sisi na wao. Hakika! Hawataishi kuyafaidi hayo (Amos 5:11)
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 15 Agosti 2023; 07:10 Usiku