JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Ndugu Watanzania!
Taarifa zinasambaa kuwa Kifungu cha Sheria kinachozuia rasilimali za nchi kumilikishwa kwa wageni, kinafanyiwa marekebisho! Kama wakibadilisha Sheria hiyo, basi watakuwa huru kuwauzia wageni mbuga za wanyama, mito, maziwa na Bahari. Hakuna atakayewakemea watu hawa isipokuwa Mungu mwenyewe. Watu hawa wajue jambo hili limefika kwetu Askofu. Kama kusema hayo ni uhaini basi Mungu ndiye atakayekuwa mwamuzi kati yetu sisi na wao. Hakika! Hawataishi kuyafaidi hayo (Amos 5:11)

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 15 Agosti 2023; 07:10 Usiku
 
wanawake wa DAR ES SALAAM wa zama zile, kariakoo
FB_IMG_1693335520607.jpg
 
Tujikumbushe miaka ya 90. Uyu jamaa anaitwa Sultan Masudi, aliwai kushiriki shindano la kumtafuta mtu mwenye sura mbaya [emoji23] jamaaa alishinda akawa wa kwanza aliwapiku kina MzeeJangala akishika Namba 2, DR. Remmy Ongala akishika Namba 3.

Baada ya kutangazwa mshindi akatokea mtu ana sura mbaya uyo Masudi akasome...
FB_IMG_1693544410335.jpg
 
DUA SHAMBANI KWA CHAUREMBO 1956

Na Mohamed Saïd.

Picha ya Hapo Juu ni moja ya Kumbukumbu za harakati ya Walioshiriki Kupigania Uhuru wa Tanganyika( Tanzania).

Kipindi kile dini ziliwaunganisha wa Tanganyika dhidi ya utawala dhalim wa kikoloni. Quran na Dua kwa wingi vilisomwa, kupitia swala za usiku, na nyakati tukufu za kujibiwa dua kama vile siku ya Ljumaa zilitumika.

Picha ya hapo juu ni Mwaka 1956 Shambani kwa Shekhe Abdallah Iddi Chaurembo, wanaharakati wa Kiomba Dua ya Pamoja.

Dua hii iliongzwa na Shekhe Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.

Waliokaa chini kutoka kulia:

1 Sheikh Hussen Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohd I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Shk. Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaur
13. Ahmed Mohamed
14. Al amudy family
15. [emoji24]. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo ( amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu( Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukoko
17...

Waliosimama:

1. Dosa Aziz
2. Mwalimu Thomas Plantan
3. Sheikh Haidar Mwinyimvua.
4. ....
5......
6.....
7. Omar Londo
8. Mahdi
9. Boi wa Zingizi
10. Abdulwahid Sykes
11. Konyaki
12.....
13. Maalim Juma Mbaruku.
14. Sheikh Salum Gundum
15. ...
16. Ramadhani I. Chaurembo
17. Mzee Mwinjuma Mwinyikambi
18. Sheikh Sueleman Takadiri
19. Mzee Rajabu Diwani
20. Mzee Ali

Waliosimama nyuma kabisa kutoka kulia:

1...
2....
3. Muhsin Mende
4...
5.....
6.....
7. Sheikh Abdallah Pilau
8. Sheikh Mohd Mattar
9. Al Amudy family
10. Al Amudy family
11. Sheikh. Ramadhan Abbas

Taarifa hii imepata kwa hisan ya Sheikh Iddi Chaurembo.

#255Tanganyika
#TanganyikaHistorical
FB_IMG_1693875082738.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom