Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
uncle Mshana Jr samahan naomba namba zako nina shida na weweRose Muhando akirekodi wimbo wake wa kwanza kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uncle Mshana Jr samahan naomba namba zako nina shida na weweRose Muhando akirekodi wimbo wake wa kwanza kabisa
Nyerere ndio boss ila iyo picha katokea kama mtumishi.View attachment 1519925
Baraza la kwanza la Mwalimu lilikua na Waziri/ Mbunge mzungu Sir Derick Brysen(Mbunge wa Kinondoni) huyo kushoto na pia alikua Waziri wa Kilimo na Kulia kwa Mwalimu ni Amir Jamal(Muhindi) alikua waziri wa Fedha baadae akawa waziri wa Nishati na Madini. Ndie waziri aliyekaa wizara ya Fedha kwa muda mrefu zaidi( Miaka 12) na alikua mbunge wa Morogoro ila alienda kufia na kuzikwa Canada
Ila AY daaah
Njaa kitu kibaya sana