JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Kwenye picha ni Mwalimu na Titi Mohammed wakicheza muziki wa dansi. Miaka michache baadaye Titi alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini ambapo alihukumiwa kifungo cha maisha jela. Titi alikaa jela kwa miaka miwili kabla ya kupata msamaha wa Rais na kuachiwa huru.

 
Dar es salaam original.

Chini kulia ni iliyokuja julikana kama New Africa Hotel.

Kwenye duara la blue ni sanamu la Wissman kabla halijabadilishwa na kuwekwa la askari mzalendo.

Usawa wa barabara ambayo leo yaitwa Makunganya kwa juu ni pori tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…