Mwalimu Nyerere Akiwa Rais Wa Tanganyika Alifanya ziara Nchini Marekani Kwa Mwaliko Wa Rais Kipenzi Wa Wamarekani Wa Wakati Wote John F. Kennedy.
Kwenye Ziara hiyo alikutana na Mtu muhimu na maarufu Sana Martin Luther King, Mwalimu Alimwalika Martin Luther King Nchini Tanganyika Bahati Mbaya Alifariki Kwa Kupigwa Risasi, ndoto ya Mwalimu Kuona Martin Luther King anakuja Tanganyika iliyeyuka.
Jr.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.