JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Field Marshall John Okello.
***
Ndiye Kamanda Mkuu Aliyeongoza Mapambano Ya Kumuondoa Mwarabu Pale Zanzibar, Kama Kawaida Ndiye Alizungumza na wanahabari Kuwa Serikali Ya Sultan Utawala Wake Umefika Kikomo.

Anatajwa Alikuwa Mwamba Kwelikwel, Mwenye Kuthubutu, Mpambanaji Kindakindaki.

Wacuba Wanasema, " Kamanda Okello Baada Ya Mapinduzi Yale Ni Kama Aliondoka, Pia Historia Yake Kama Imezimwa, Kizazi Cha leo huwezi kusikia wanamtaja Field Marshall John Okello Kwenye mapinduzi Yale muhimu."
1765650162848.jpg
 
Troop Commander Salva Kiir Mayardit , left, while in the bush. picture taken in Sudan-Ethiopia border in 1984. Kiir is now the president of South Sudan. He took over after passing away of Gen. John Garang de Mabior
1765679025266.jpg
 
The Wrestlers is a Roman marble sculpture from the 1st century CE, believed to be a copy of a lost Greek original dating to the 3rd century BCE. The artwork depicts two 𝘯𝘶𝘥𝘦 young men locked in intense physical combat, engaged in pankration—a brutal ancient Greek sport that combined wrestling and boxing, considered a forerunner of today’s mixed martial arts (MMA).
1765680058499.jpg
 
Wakoloni wana njia nyingi za kushawishi.

Hapo washamvua Chief Marealle kaniki na kumvesha nguo za kizungu.
1766103872718.jpg
 
JOAN WICKEN ni mwanamke Jasusi Myahudi ambaye alipewa kazi na Wayahudi kuja Kumlinda Mzee Nyerere asikiuke Makubaliano ya Kukabidhiwa Nchi alikuwa ni personal Secretary wa Nyerere ambaye alikuwa akimwandikia Speech. Alikuwa secretary wake mpaka Mzee Nyerere alipofarikia mwaka 1999!! Baada ya kazi aliyopewa kukamilika alirudi Kwao.
FB_IMG_1766108124987.jpg
 
Shirati-Musoma.

Mtawala Mjerumani katika kudumisha utawala wake alileta askari Wanubi kutoka Sudan na Wazulu toka Msumbiji hili kuwakabili akina Abushiri,Mkwawa na hata vita ya majimaji.

Baadaye akaanzisha kambi kubwa Shirati-Musoma.

Huko akakutana na Wakurya,akaona hawa wana damu ya kijeshi.

Ndio ukawa mwanzo wa wakurya kuwa wengi jeshini.

Pichani wote ni askari wa Kikurya.
1766589732358.jpg
 
Back
Top Bottom