JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Napenda picha za jakaya kikwete akiwa kijana, yaan nataman km ningekua kipindi hiko afu tuwe na ukaribu lol,
Pz tupieni picha za jakaya akiwa kijana, tena zile amevaa casual uwiiiiiiiiiiiiii
Nishakuonya kuwa unatafuta kuchomwa moto na Salma! Mzigua90 mpeleke kwa JK apate anachokitafuta
 
Mkuu GeoMex asante kwa mchango wako,pamoja na kwamba hatukuwepo wakati huo lakini historia na picha kama hizi zinaturudisha nyakati hizo.
Ukiweza ziweke kitabuni tu mkuu

Asante kwa Mleta mada na wadau wengine,nahisi kama maisha ya zamani yalikuwa mazuri hivi,ila sijui ni mawazo yangu pengine na sisi enzi hizi zikipita vitukuu na vilembwe vyetu watayatamani.
 
[emoji1534][emoji1548][emoji1548]maisha ya zamani yalikuwa super sana ..japo kulikuwa na changamoto zake lakini maisha yalikuwa super
Elimu ilikuwa bure na ya uhakika kuanzia kindergarten mpaka Seven
Secondary ada ilikuwa nafuu mno
Chakula mikebe daftari vilitolewa bure kwa wanafunzi wote
Ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake vidonge vya rangi 12...sita kwa maramoja
Maji hayakuuzwa tulikunywa kwenye mito na vijito na yalikuwa safi , salama na matamu balaa
Hakukuwa na gesti bubu na short time ..vichaka vilisaidia
Pipi tuliita peremende
Big G tuliita bazoka
Mkate tuliita boflo
Dah..zamani acha tu
Tuliogeshwa na dada zetu mpaka tunajitambua
Jando ilikuwa bila ganzi
 
'Jando ilikuwa bila ganzi'

Hii si mchezo aisee,hivi watu walikuwa hawafi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…