umeutendea haki sana huu uzi , ikikupendeza pumzika ili upate nguvu ya kutupia picha with details, hiyo ya Putin kukaa morogoro sikuwahi isikia[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Na sema nimechoka tu kuandika ndo maana kasi ikepungua na majukumu yanabana. Ila nna picha za historia nyingi sana
ReincarnationUnaeza sema ni barnaba msanii wa bongo flavaView attachment 1528232
Na yule msanii ni wa Moshi lazima atakua babu yake sio kwa kufanana huko.... hii picha inabidi imfikie aoneshe kwa family yake huenda wakamtambua.Unaeza sema ni barnaba msanii wa bongo flavaView attachment 1528232
Dah kweliNa yule msanii ni wa Moshi lazima atakua babu yake sio kwa kufanana huko.... hii picha inabidi imfikie aoneshe kwa family yake huenda wakamtambua.
Huyu ni Mhe Abdurhaman Babu ni muhim sana pia. Mbali ya mapinduzi ya Zanzibar alikuwa Waziri wa Uchumi serkali ya Muungano. Alifarki hapa London 1996 akiwa na miaka 70.Mohammed BabuView attachment 1527420
Alichagiza sana siasa za upinzani wakati uleHuyu ni Mhe Abdurhaman Babu ni muhim sana pia. Mbali ya mapinduzi ya Zanzibar alikuwa Waziri wa Uchumi serkali ya Muungano. Alifarki hapa London 1996 akiwa na miaka 70.
Tulibishana sana kuh suala la kuvuta sigara. Lilichangia kifo. Amina
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Weka THING'S FALL APART kitu kimechapishwa 1958.
Akikusikia Mama Salma shauri yakoNapenda picha za jakaya kikwete akiwa kijana, yaan nataman km ningekua kipindi hiko afu tuwe na ukaribu lol,
Pz tupieni picha za jakaya akiwa kijana, tena zile amevaa casual uwiiiiiiiiiiiiii
Sahivi una sahivi una 42??
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] asikie tyuuuh, maam nasema kilichopo moyoni wangu uwiiiiiiiihAkikusikia Mama Salma shauri yako
Picha hii ya Dr. Salim ilikuwa picha rasmi ya Dr. Salimu kama balozi wetu wa kudumu Umoja wa Mataifa UN miaka ya 1970.
Kumbe hawajakutana barabaraniKanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
Alizikwa wapHuyu ni Mhe Abdurhaman Babu ni muhim sana pia. Mbali ya mapinduzi ya Zanzibar alikuwa Waziri wa Uchumi serkali ya Muungano. Alifarki hapa London 1996 akiwa na miaka 70.
Tulibishana sana kuh suala la kuvuta sigara. Lilichangia kifo. Amina
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app