THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,776
Ndio urafiki wa kisiasa huwaga hivi.Oh jamani [emoji26]
Aliuliwa Akiwa bado mdogo
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.
Akhsante Sana dr kwa habari hii nzuri.
Amen Dr[emoji4]Ndio urafiki wa kisiasa huwaga hivi.
Ni urafiki wa kinafiki nafiki hivi.
Btw kuweka rekodi sawa, mie sie daktari, japo nilitamani sana kuwa daktari wa moyo wakati nikiwa mdogo ilifikia wakati hadi kuwa nafanyia operesheni panya na mende.
Ila ndio hivyo Mola hakupi unachotaka bali unachostahili.
Japo hadi leo napenda sana masuala ya utabibu na nayafuatilia sana mitandaoni, ofisini mtu akiumwa kabla hajaenda hospitali lazima anione kwa ushauri na mara nyingi huwa napatia anachoumwa
Na hata akirudi hospitalini na dawa hamezi hadi anione na ashauriane na mimi.
Ila nitajitahidi sana na Mungu anisaidie kumfanya mwanangu angalau mmoja kuwa daktari In sha allah.
Wakiyaleta unasema sio mahali pake wakati wewe tangu mwanzo umeyashikiliaNa linakaribia kufika ukomo
Nimezingatia sana hii point yako tunaweza kufanya kitu ujue nje ya serikaliMkuu mimi naona atujitendei haki kabisa... kutokuwa na hata ka kituo cha historia hii adhimu...tunalala sana ila ni kitu ambacho kitatufaa sana huko mbeleni....tena ingefaa kiwekwe kule moro ambako ndiko kulikuwa na kambi nyingi za ukombozi.
Kweli kabisa mkuu.Nimezingatia sana hii point yako tunaweza kufanya kitu ujue nje ya serikali
Che guevara sio castroView attachment 1521884
Mondlane na Castro......
Mondlane ndo alikuja kuuwawa kwa Bomu alilotumiwa kwenye barua nyumbani kwake (Masaki sijui?? )na Shirika la ujasusi South Africa(BOSS)
Hii nafikiri ni hapa nchini kati ya 64 au 65.Che guevara sio castro
Uuh hayo macho sasa.Zahir Ally Zorro...Baba wa Banana ZorroView attachment 1527843
Kwenye siasa hakunaga urafikiOh jamani [emoji26]
Aliuliwa Akiwa bado mdogo
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.
Akhsante Sana dr kwa habari hii nzuri.
Hawa watakuwa makomandoo. Cheki walivyonyooka aiseeView attachment 1523231
30 September 1965 Mwalimu na vijana wake wakisheherekea ushindi.
NOTE: JWTZ wakati huo hawavai bakabaka
Mbona kafanana sana na barnaba boy( yule msanii) ?View attachment 1524374
Huyu jamaa sijui alikua na kosa ganii?? Sh 5,000 wakati huo ndo mshahara wa Rais Nyerere[emoji1][emoji1]
Na ndo alipga ule mdundo kabla ya taarifa ya habari nahisi saa 2 usiku. Katika redio ya taifaView attachment 1524406
Morris Nyunyusa alikua mlemavu wa macho(Kipofu) ila alikua anapiga ngoma balaa
Safi kabisaView attachment 1532660
Siyo tunaweka tu wanasiasa,huyo wa upande wa huku ni mimi mwaka 1976 nikitokea jando.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen Dr[emoji4]