Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ina maana hata hawa wanaaoonekana wanashirikiana kisiasa si marafiki?Kwenye siasa hakunaga urafiki
Ova
[emoji4]Mbona unanicheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4]Mbona unanicheka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakiyaleta unasema sio mahali pake wakati wewe tangu mwanzo umeyashikilia
Wapare akili zenu bwana
Kitu gani?Kuna kitu kimenichekesha sana
Kitu gani?
Nishirikishe,isije kuwa nachekesha huku [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092][emoji2092][emoji2092]Jamaa ametumia maneno mengi kueleza sio dokta
Unakuja kumjibu kwa status ileile halafu kwa ufupi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Sawa ila nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Anajua najua ila napenda tu kumuita vile.
Halafu Dr inaweza kuwa ufupisho wa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]you never know[emoji4]
Wa nembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha tufurahi mkuu.Sawa Sawa ila nimecheka sana
Nikipata mda nitaleta historia kwa hisani ya picha ya mwanamke alieweka historia duniani kwa maumbile ya kipekee kabisa
Yes mkuu kama unayo tupia historia yake kwamaana niko safariniSara Baartman?? Alikua na zegembe sio pa nchi hii[emoji16][emoji16]