JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Kilimo cha Matikiti kinalipaView attachment 1723503
Hii ilete huku

Umekula tunda gani leo?
 
😳😳Kwani hii nayo ni picha ya zamani?...
Nimeshampa link ya sehemu husika


Umekula tunda gani leo?
 
1989 Makomando wa Tanzania wakiwa mstari wa mbele kwenye mapambano na RENAMO(Msumbiji). Kutoka kushoto Godwin Chilewa, John Mwaluko na Kihuye Misigaro


Huyu Godwin Chilewa baada ya Utumishi wa JWTZ alikuja kufanya kazi na "Idara" kwa karibu miaka 20 na baadae akatimkia zake USA saivi ni mtumishi wa Mungu(Rev. Godwin Chilewa) pia ni muandishi wa vitabu. Yuko Houston nadhani

Picha kwa hisani ya Pastor Godwin
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Siku hizi jiwe la msingi linawekwa jengo likiwa limekamilika.
 
So Leo Tanzania imepata Rais Mwanamke kwa mara yq kwanza. Mungu akusaidie Maddam President Samia Suluhu Hassan


Hapa chini ntaangazia baadhi ya harakati za wanawake katoka ulimwengu wa siasa za Tanganyika na Baadae Tanzania

Your browser is not able to display this video.


Haya ni maandamano yaliyoandaliwa na wanawake katika mitaa ya Dar es Salaam kumuunga mkono Mwalimu JKN baada ya maasi ya jeshi yaliyofeli Feb 1964
 
Your browser is not able to display this video.

August 1966 haya ni maandamano yaliyoandaliwa na Bibi Titi Mohammed kwenda Ikulu Dar es Salaam kumshinikiza Mwalimu awwpe kazi wanawake,kwa maneno kuwa wanaume walikua hawawezi kazi nyingine na mara nying walikua wanaendekeza ulevi tu (Inneficent and Often Drunk)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…