JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Pamoja sana jamaangu. Hakuna maneno mengi ni taswira tu kwenda mbele
Unaturudisha nyuma kuona Taifa hili huko kipindi cha Nyuma wazalendo na wachapa kazi wa enzi hizo... Napenda sana Nchi Yangu...tuna historia Tamu sana.
 
Anaumwa sana mzee yule dahh

Naona vyuma vilivyobaki walioumbwa kwa udongo mkavu ni A. H Mwinyi na Warioba tu ndo wanadunda bado
Warioba ni wa 1940 kuna vyuma kama huyo mwinyi 1925,Msuya 1930,Malechela 1934,Msekwa 1934,
 
JamiiForums767514335.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom