Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enoch Mankayi Sontonga. Mtunzi wa Mungu ibariki Africa.
Huyu mjerumani km alitaka kuwa handsome hv zen ghafla ikagoma [emoji3][emoji3]
Kabisa tena ni nchi nyingi zinatumia mashairi yakeAfrika haijamtendea haki
[emoji23][emoji23][emoji23]Bado sn ww, co tu ni mtoto mdogo lkn pia jitahidi uwe unasoma historia na kusikiliza wahenga co tu bongo fleva, but sorry lkn dear [emoji3][emoji3]
Nishakuonya kuwa unatafuta kuchomwa moto na Salma! Mzigua90 mpeleke kwa JK apate anachokitafutaNapenda picha za jakaya kikwete akiwa kijana, yaan nataman km ningekua kipindi hiko afu tuwe na ukaribu lol,
Pz tupieni picha za jakaya akiwa kijana, tena zile amevaa casual uwiiiiiiiiiiiiii
Mimi mkubwa ila somo la historia lilinipiga chengaWw bado u mtoto mdogo [emoji3][emoji3]
Maisha ya zamani,...nakumbuka ilikuwa ni kitabu cha darasa la 4
Baba yangu anayo radio kama hii.Hii naikumbuka hii,Memory QView attachment 1527954
Oh sawasawa bossMaisha ya zamani,...nakumbuka ilikuwa ni kitabu cha darasa la 4
[emoji1534][emoji1548][emoji1548]maisha ya zamani yalikuwa super sana ..japo kulikuwa na changamoto zake lakini maisha yalikuwa superMkuu GeoMex asante kwa mchango wako,pamoja na kwamba hatukuwepo wakati huo lakini historia na picha kama hizi zinaturudisha nyakati hizo.
Ukiweza ziweke kitabuni tu mkuu
Asante kwa Mleta mada na wadau wengine,nahisi kama maisha ya zamani yalikuwa mazuri hivi,ila sijui ni mawazo yangu pengine na sisi enzi hizi zikipita vitukuu na vilembwe vyetu watayatamani.
'Jando ilikuwa bila ganzi'[emoji1534][emoji1548][emoji1548]maisha ya zamani yalikuwa super sana ..japo kulikuwa na changamoto zake lakini maisha yalikuwa super
Elimu ilikuwa bure na ya uhakika kuanzia kindergarten mpaka Seven
Secondary ada ilikuwa nafuu mno
Chakula mikebe daftari vilitolewa bure kwa wanafunzi wote
Ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake vidonge vya rangi 12...sita kwa maramoja
Maji hayakuuzwa tulikunywa kwenye mito na vijito na yalikuwa safi , salama na matamu balaa
Hakukuwa na gesti bubu na short time ..vichaka vilisaidia
Pipi tuliita peremende
Big G tuliita bazoka
Mkate tuliita boflo
Dah..zamani acha tu
Tuliogeshwa na dada zetu mpaka tunajitambua
Jando ilikuwa bila ganzi